Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Univetsity corner - t-shirt na jeansnaunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
0-10 alishajifianaunga mkono hoja maana kuna wakali kama university corner, man X, H-mbizo, O-ten hawa watu sijui wapo wap
Ilikuwa nouma saana!hahah walifukuzwa upolisi kwasababu waliuza virungu vya polisi kama kuni kwa mama ntilie wapate ela ya komoni
Sent using Jamii Forums mobile app