Yuko wapi msanii "Mtunis"?

Ajipodoi ila ana rangi kama ya shombe shombe fulani hivi ingawa mmakonde, tulikua tunamuita muddy bishoo kitambo iko shule ya msingi mtoni kwa mama mary
 
Mzinguaji tu huyo hana nyumba yoyote amerudisha mpira kwa kipa amerudi kwao, kwao ni mbagala charambe magengeni,kutwa nzima anashinda kibarazani anapiga guitar.
Umri ule anarudi kwao?pathetic
 
Umri ule anarudi kwao?pathetic
Hawa wasanii wana fake maisha ila kiuhalisia ni tofauti tunavyodhani.
Pesa Wanapata ila zinaishia kwenye starehe kama huyu mtunis alipata mgao wa urithi wa nyumba mbagala maji matitu matokeo yake nyumba aliuza na pesa amemaliza amerudi kwa mama yake,rafiki yake mkubwa ni mwingizaji mwenzake tino muda wote wako pamoja Kama bata
 
Mara kigas,mara mbagala.usahihi ni upi?
Mie najua alikuaga upanga wakat fulan, ndo nashangaa naambiwa yuko huko kigas, na mbagala tena kwa nan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha..so anagombania maandazi na wadogo zake hapo kwao?
 
Mie najua alikuaga upanga wakat fulan, ndo nashangaa naambiwa yuko huko kigas, na mbagala tena kwa nan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wambea wanasema karudisha mpira kwa kipa.
 
Jamaa anasuluhisha mgogoro wa meli za Iran na ugiriki, Akirudi bongo fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…