Mlapapaa
Member
- Jun 13, 2021
- 98
- 172
Ajipodoi ila ana rangi kama ya shombe shombe fulani hivi ingawa mmakonde, tulikua tunamuita muddy bishoo kitambo iko shule ya msingi mtoni kwa mama maryAnajipodoa sana yule bwege itakuwa amefichwa na wamama au mwarabu mmoja kampeleka Dubai maana ndio mambo yao siku hizi.
Ukisikia mtu analelewa na jomama ovopa sana wengi huwa mapunga wwnauzwa na wale wamama sema anajifanya yule mama ndio mtunwake ili kuficha ungese wao.