Kumbe mjomba kaenda age huyo inasemekana kazaliwa1973Umri ule bado anakula migahawani mungu kiponye kizazi cha burudani Tanzania
Pale mshamba unapotaka kuonekana wa mjini,kazi kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ambaye sahv mme wa mama msanii bongo,jamaa wa 88moroMwenzao yupi,kinyaiya au?
Akachube alikuwa anawapa sana magari wasanii,maana na yeye si alikuwa anapenda kufagiliwaHujui kuwa mjini kuna yard zinakodisha magari?
Ila wanawavuaga pichu bure mademHuyu arudishe mpira kwa kipa na uzee wote huu? Tatizo u marioo. Then ndo akapangishwa hapo Upanga, baada ya kuachwa ndo karud huko kwao lol.
Anko Shamte kumbe ni wa moro,nikajua ni wa Tanga?Huyo ambaye sahv mme wa mama msanii bongo,jamaa wa 88moro
Wale ndiyo super marioooo
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hatareeeh tupu.Pale mshamba unapotaka kuonekana wa mjini,kazi kweli kweli
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wao wenyewe wanavuliwaa pia.Ila wanawavuaga pichu bure madem
Ila wengine wakiwataka madem hao
Wanawapiga invoice,madem wa kbngo F kabsa
Ova
"Muda wote wako pamoja kama bata"Hawa wasanii wana fake maisha ila kiuhalisia ni tofauti tunavyodhani.
Pesa Wanapata ila zinaishia kwenye starehe kama huyu mtunis alipata mgao wa urithi wa nyumba mbagala maji matitu matokeo yake nyumba aliuza na pesa amemaliza amerudi kwa mama yake,rafiki yake mkubwa ni mwingizaji mwenzake tino muda wote wako pamoja Kama bata
Huyu Tino nmeishi nae jirani kigamboni miaka ya 2011Hawa wasanii wana fake maisha ila kiuhalisia ni tofauti tunavyodhani.
Pesa Wanapata ila zinaishia kwenye starehe kama huyu mtunis alipata mgao wa urithi wa nyumba mbagala maji matitu matokeo yake nyumba aliuza na pesa amemaliza amerudi kwa mama yake,rafiki yake mkubwa ni mwingizaji mwenzake tino muda wote wako pamoja Kama bata
Ooh kumbe[emoji3]Mganga njaa
Msweden unamdiss mtunisHawa wasanii wana fake maisha ila kiuhalisia ni tofauti tunavyodhani.
Pesa Wanapata ila zinaishia kwenye starehe kama huyu mtunis alipata mgao wa urithi wa nyumba mbagala maji matitu matokeo yake nyumba aliuza na pesa amemaliza amerudi kwa mama yake,rafiki yake mkubwa ni mwingizaji mwenzake tino muda wote wako pamoja Kama bata
Namjua vizuri huyo brother nimeishi nae mbagala ingawa amenipita Kama miaka 12Msweden unamdiss mtunis
Nimesoma nae shule moja Labda kazaliwa 1983 au82Kumbe mjomba kaenda age huyo inasemekana kazaliwa1973
Mwana inaelekea una hasira naye kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu msanii jina lake halisi silijui ila alikuwa na heka heka sana enzi hizo. Mara ya mwisho alikuwa anaishi Sinza kwa jimama moja kama marioo na alimfukuza kwake baada ya kufilisi duka alilomuachia.
Huyu msanii alikuwa muongo sana na mjivuni kuna interview yake moja pale Channel Ten alidai yeye alisomea masuala ya utengenezaji wa ndege kule South Africa.
Je huyu msanii yuko wapi kwa sasa au amerudia kazi yake ya uganga wa kienyeji.
Alikuwa anauza kiduka cha nguo pale sinza baadae akawa mganga wa kienyejiHawa wasanii wana fake maisha ila kiuhalisia ni tofauti tunavyodhani.
Pesa Wanapata ila zinaishia kwenye starehe kama huyu mtunis alipata mgao wa urithi wa nyumba mbagala maji matitu matokeo yake nyumba aliuza na pesa amemaliza amerudi kwa mama yake,rafiki yake mkubwa ni mwingizaji mwenzake tino muda wote wako pamoja Kama bata
Ile lafudhi yake ya kujifanya kama ameishi mbele huko ni huwa anazuga au ni nini?Alikuwa anauza kiduka cha nguo pale sinza baadae akawa mganga wa kienyeji
Marafiki wakubwa sana haoHuyu Tino nmeishi nae jirani kigamboni miaka ya 2011
Ilo la kuwa mganga silifahamu ila baba yake alikuwa imamu wa msikiti na mganga wa kutumia vitabuAlikuwa anauza kiduka cha nguo pale sinza baadae akawa mganga wa kienyeji