Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,068
Kuna Tamthilia ilikuwa inaoneshwa azamtv inaitwa ndoano alikuwa kama main character ya mwaka huu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende upanga atamkuta amejaa telee.Anajipodoa sana yule bwege itakuwa amefichwa na wamama au mwarabu mmoja kampeleka Dubai maana ndio mambo yao siku hizi.
Ukisikia mtu analelewa na jomama ovopa sana wengi huwa mapunga wwnauzwa na wale wamama sema anajifanya yule mama ndio mtunwake ili kuficha ungese wao.
Kuna kipindi alikuwaga upanga, labda huko kigas kahamia karibun tyuuh.Kajificha Gezaulole huko Kigambonino, anajitibia zongo alopigwa na Pauline.
-Kaveli-
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu nyie, uwiiiiihkuna mmoja pia alikuwa msanii wa bongo muvi mweupe hivi kakaa kiupole sana..
naskia alikuwa anabadili demu kwa siku mara 3 km dozi ya asprini (sorry mzee asprin).
hadi mwenyekiti wa mtaa na balozi waliitwa na mwenyenyumba waje kumuonya!!simkumbuki jina ila uzi wake uko humu niliusoma.
na yule jamaa mwingine jina lake la kitajiri kila guest huko daslam walikuwa hawataki kumkodishia room sbb alikuwa anazichafua kwa majitaka ya mtaroni.
Yule mzima kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aende upanga atamkuta amejaa telee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] watu walishapita na anuani ya makazi kitambooooo.Yule mzima kweli?
Nimecheka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] watu walishapita na anuani ya makazi kitambooooo.
Mwanaume kujisikia vile ni hatari sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] watu walishapita na anuani ya makazi kitambooooo.
Jamaa kafanya umarioo mpk kawa used HahahaWaulize marioo wenzake kina ben kinyainya labda yuko dubenga kaolewa
Wanawake wa mjini si wanapendaga wauza suraSio anapenda ni limarioo liliokubuhu mjini...afu huwa ana lafudhi ya kikongo sidhani kama ni mtanzania yule..
Pauline Zongo maisha yake yameharibika kwa ajili ya yule jamaa asee
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] wee upo? Uwiiiiih umepotea mno.Nimecheka sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume kujisikia vile ni hatari sana.
Unaona vizuri vile mjamaa[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njoo wasap[emoji3059][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] wee upo? Uwiiiiih umepotea mno.
Jinga Sana wewe nime kufa mbavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] watu walishapita na anuani ya makazi kitambooooo.
Unawajua majina hao waliotwaja ? Maana nimetoka kapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu nyie, uwiiiiih