Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Mzinguaji tu huyo hana nyumba yoyote amerudisha mpira kwa kipa amerudi kwao, kwao ni mbagala charambe magengeni,kutwa nzima anashinda kibarazani anapiga guitar.nakumbuka alihojiwa kipindi cha nyuma akaulizwa kuhusu maisha akasema ana nyumba kali anajenga lakini pia ni baba wa watoto wawili na ana supermarket mjini dsm hapa.
sema rafudhi yake ilikuwa kama ya watoto wanaosomea IST[emoji23][emoji23][emoji23].