PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Mkuu bado yuko na mishe za mziki?Kinyerezi.
yupoo..mimi ni mwanangu japo sio saaaana ila do go hi a anazingua tumewahikuandaa shoo Tanga alilewa hadi kuzima mimimwenyewe ndionilimmwagia majimpaka kuzinduka...nadhanikutojielewa naulevi wanawake n.k ndiovimemuua.
sio huyu jamaa sisani atakama anasmart4nehuyu hapa PNC 1
Analaana bosi alikuwaga ustaadhi ilala msikiti fulani hivi akamwacha allah akawa mpigaji wa syle ya gangaleee (uganga) ana mambo ya ajabu kinoma namjua kimatako matako (nje ndani) anaitwa Ustaadhi Juma na musomaBosi mwenyew km mlevi vile
Sio kama nadharau au kukebehi imani yako ila waganga wote ninaowafahamu ni waislamu swafi mmoja wao ni marehemu shehe yahaya na sijaona mganga wa kienyeji anayeenda kanisani.Analaana bosi alikuwaga ustaadhi ilala msikiti fulani hivi akamwacha allah akawa mpigaji wa syle ya gangaleee (uganga) ana mambo ya ajabu kinoma namjua kimatako matako (nje ndani) anaitwa Ustaadhi Juma na musoma
Mwambie akachukea magoti yake kwa Juma na sijui na Singida anakuaje boya anapiga piga magotiyupoo..mimi ni mwanangu japo sio saaaana ila do go hi a anazingua tumewahikuandaa shoo Tanga alilewa hadi kuzima mimimwenyewe ndionilimmwagia majimpaka kuzinduka...nadhanikutojielewa naulevi wanawake n.k ndiovimemuua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa uandishi huu huwezi kuandaa shoo mkuu.