Yuko wapi msanii PNC?

Yuko wapi msanii PNC?

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Pnc ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri alifanya vizuri miaka ya nyuma kidogo na nyimbo zake zilihit sana kwa sasa naona kapotea sana kwenye game mara ya mwisho kupata habari zake walisema kulikuwa na kutoelewana kidogo na boss wake aliyekuwa anasimamia kazi zake hivyo ikabidi aende kuomba msamaha,baada ya hapo mashabiki zake tulitegemea jamaa angerudi tena kwenye game kwa kishindo kwa sababu walikuwa wamesha maliza tofauti zao lakini hatujasikia tena ngoma kutoka kwake,kwa wenye taarifa zozote za jamaa watujuze ?
1470494911871.jpg
hapo alikuwa anaomba msamaha kwa uongozi wake
1470494997030.jpg
 
jamaa kama anaona kinyaa hivi kumpa mkono
 
yupoo..mimi ni mwanangu japo sio saaaana ila do go hi a anazingua tumewahikuandaa shoo Tanga alilewa hadi kuzima mimimwenyewe ndionilimmwagia majimpaka kuzinduka...nadhanikutojielewa naulevi wanawake n.k ndiovimemuua.
 
Mabosi wa kibongo bhana, wanapenda kusujudiwa sana...
 
unaonyesha ukiwa mwalim utasahihisha mwandiko sio usahihi wa jibu. vipi miandiko ndiohua inaandaa show au hela?hahahaha..acha umadenge wewe sometimes tunakua bize so ukiona mtu ameuliza kitu unachoweza kuchangia kwa uhakika una type haraka ili uendelee na kazi. show pesa sio uandishi wa habari...
 
Bosi mwenyew km mlevi vile
Analaana bosi alikuwaga ustaadhi ilala msikiti fulani hivi akamwacha allah akawa mpigaji wa syle ya gangaleee (uganga) ana mambo ya ajabu kinoma namjua kimatako matako (nje ndani) anaitwa Ustaadhi Juma na musoma
 
Sio kama nadharau au kukebehi imani yako ila waganga wote ninaowafahamu ni waislamu swafi mmoja wao ni marehemu shehe yahaya na sijaona mganga wa kienyeji anayeenda kanisani.
 
yupoo..mimi ni mwanangu japo sio saaaana ila do go hi a anazingua tumewahikuandaa shoo Tanga alilewa hadi kuzima mimimwenyewe ndionilimmwagia majimpaka kuzinduka...nadhanikutojielewa naulevi wanawake n.k ndiovimemuua.
Mwambie akachukea magoti yake kwa Juma na sijui na Singida anakuaje boya anapiga piga magoti
 
Back
Top Bottom