PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Pnc ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri alifanya vizuri miaka ya nyuma kidogo na nyimbo zake zilihit sana kwa sasa naona kapotea sana kwenye game mara ya mwisho kupata habari zake walisema kulikuwa na kutoelewana kidogo na boss wake aliyekuwa anasimamia kazi zake hivyo ikabidi aende kuomba msamaha,baada ya hapo mashabiki zake tulitegemea jamaa angerudi tena kwenye game kwa kishindo kwa sababu walikuwa wamesha maliza tofauti zao lakini hatujasikia tena ngoma kutoka kwake,kwa wenye taarifa zozote za jamaa watujuze ?
hapo alikuwa anaomba msamaha kwa uongozi wake