UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Nauliza ili kujua juu ya mzee wetu, gwiji wa siasa za bongo. Una habari zake?Maswali yamekuwa mengi why?
Safi sanaNaamini baada ya siku sio nyingi atajitokeza kwa style yoyote ile.
Wazee wote magwiji wa siasa za bongo uliwaona msibani??Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Hahaa, ndiyo kutimia kwa ile methali ya kiswahili kuwa "Nyani mzee haogopi mvua", siyo?Wazee wote magwiji wa siasa za bongo uliwaona msibani??
Sijakuelewa bwashee, ebu fafanua kidogo!Na malaika watoa haki hawapoi na hawatapoa hata simu moja tuendelee hivi hivi
Nimakamu mwenyekiti pia ni swahiba wa malhumu,,Wazee wote magwiji wa siasa za bongo uliwaona msibani??
"Yupo fiti ofisini anachapa kazi, ulitaka azurure Kariakoo?" Alisikika mlevi mmojaWakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Kwani anaishi Canada?Kwani Canada hayupo?
Hapana, sikutaka azurure Kariakoo; niliuliza tu kama alikuwepo kwenye kuaga mwili wa komredi Membe. Vipi ulimwona?"Yupo fiti ofisini anachapa kazi,ulitaka azurure kariakoo?"alisikika mlevi mmoja
Mkuu, kama ni kwenye mchezo wa karata hapa nimeokota garasa!Labda amepokea pasi na kuweka gambani tusubiri Msechu atoe Songi