Yuko wapi mzee Kinana?

Yuko wapi mzee Kinana?

UmkhontoweSizwe

Platinum Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
9,454
Reaction score
8,894
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana. Yuko wapi?

ccb9888d-ff86-4845-9c73-d1e703549820.jpg

Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo? Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.

Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
Wazee wote magwiji wa siasa za bongo uliwaona msibani??
 
Wakuu, ni muda sasa sijamsikia mwanasiasa nguli na makamu mwenyekiti wa ccm mzee Kinana; yuko wapi?
Kwa wale mliohudhuria uagwaji wa mwili wa komredi Membe pale Karimjee, mzee Kinana alikuwepo?
Nauliza kwa nia njema ili kujua juu ya mzee wetu.
Nawasilisha
UMK @ Nkotokwiana.
"Yupo fiti ofisini anachapa kazi, ulitaka azurure Kariakoo?" Alisikika mlevi mmoja
 
Back
Top Bottom