Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Alikwambiaje nami nijaribu nitest zali, wewe lazima utakuwa na uhusiano na mod mmoja, jamaa kala ban nzito. Wengine tunakula kula ban ila za wiki kisha tunatolewa kifungoni.
Unataka ujaribu kunitukana,jaribu siku moja na wengine wajaribu ukija na nyingine ban tu
Tatizo lenu huwa mnatuangalia kwa jicho jepesi jepesi tazamaneni kwa umakini na acheni dharau la sivyo life ban itawahusu
 
Duh!
Okei. Nimeongea kiutani tu hapo ila naona imekutachi sana. Pole kwa tusi alilokuwa kakutusi. Dharau gani hizo mbona una generalize mambo??
Au wewe ni mod nini??
 
Duh!
Okei. Nimeongea kiutani tu hapo ila naona imekutachi sana. Pole kwa tusi alilokuwa kakutusi. Dharau gani hizo mbona una generalize mambo??
Barafu usichukulie seriaz nakutania tu bana
Wala haijanitachi kabisa nilijaribu kufafanua tu
Uwe na wikiend njema
 
Where is the former
Tanzania intelligence officer GENTAMYCINE?

Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....

bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..

Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…