barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Alikwambiaje nami nijaribu nitest zali, wewe lazima utakuwa na uhusiano na mod mmoja, jamaa kala ban nzito. Wengine tunakula kula ban ila za wiki kisha tunatolewa kifungoni.Alinitukana ila msijali atarudi tu