Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hahahaahah kwa hiyo Genta aliaibika eee [emoji23][emoji23][emoji23] putin nimekudharau naomba umuache Genta wetu mi na Shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Pole dia kazana kutafuta hiyo s9[emoji18]
Huyo wa mwisho tupo naye masaa yote humu.Nitumie nafasi hii kuwaulizia akina
@elve
illuminata Rogers
@ Qugley ( jamaa avatar yake alikua amemuweka Paul kagame
Thia Is JF.
Ngoja nijitahidi kukopa ili niipate hiyo s9,but kwa vyuma hv itachukua mudaPole dia kazana kutafuta hiyo s9
Mmmmmhhj acha kuumbua jamani
Nooo hajaabika nahuo ndo uanamme kua wazi kwa feelings , unajua mtu anayekupenda mbele ya machobya wengi HE IS A REALLY ONE !!!Hahahaahah kwa hiyo Genta aliaibika eee [emoji23][emoji23][emoji23] putin nimekudharau naomba umuache Genta wetu mi na Shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Hivi mima yupo wapiNooo hajaabika nahuo ndo uanamme kua wazi kwa feelings , unajua mtu anayekupenda mbele ya machobya wengi HE IS A REALLY ONE !!!
Sema kuna mambo kidogo aliyakosea, mkuu genta alijipa sifa sanaa nyingi ,sasa mademu huwa hawapendi watu wa masifa !!
Sema Shunie ipo siku. ......
Duuhh basi sijamuona Kitambo, au now yupo ktk majukwaa mazito mazito !!
Najua unajua kwa ambaye hajui nishamtafunia atameza mwenyeweMmmmmhhj acha kuumbua jamani
HahahahaYupo US kwa operation ya kukuza masikio [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi najua lakin kaa hajapenda kujulikana unamuacha hana shida na mtu yuleNajua unajua kwa ambaye hajui nishamtafunia atameza mwenyewe
HaibooooAhahahahaha ice wangu mimi
Mimi CIA wako unajua kabisa hilo we niamini tu na mtu akikuchokoza niambie haraka
Leo siitwi mama Sabrina halaf unaona mwifwa anataka kutuchonganisha mwambie hawezi eti anamuita neyHaiboooo
Hayaaaa
Adolay je?kapeace yupo busy na girisi
Na mimi pia sipendi ila nimesema tu yupo.Mimi najua lakin kaa hajapenda kujulikana unamuacha hana shida na mtu yule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo siitwi mama Sabrina halaf unaona mwifwa anataka kutuchonganisha mwambie hawezi eti anamuita ney
Huyu sijuiAdolay je?
Hahaha duuh ili jibu noma sanaPia kwako hana umuhim ndo maana hujui alipo. Pia hata yeye hana umuhim kwako ndo maana hajakujulisha alipo