haha nakuonaaa unavyokula ubuyu na kaka Shamma...nimewagawa nyie kwa mangekimambiHi cute inna...miss ya!
Anahisi hatumjui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mmmmmh mbona hufananii na hizi sentensi baba mchungaji??
Nakaziaaaaa
UnasemaaaaMwanaume kuwa mmbea sio sifa.
Ni kweli but inahusishwa na picha, hilo linakumbusha ujue.Hajasemwa kwa ubaya....unless M/ Mungu kamlipia!
Walinyonyana damuIla nyie mnapenda sana kufaidisha watu. Hivi kitu gani hicho msichoacha kugombana? Kuna watu wanawacheka hatari ambavyo mnagombama maana mlikua team moja kuwakaanga. Halafu nin hicho kisichoisha mnakigombania? Acheni utoto bwana yaishe haya.
Ndio hivyo, tukiwala tunawaanika si umbea sasa dada?Mwanaume kuwa mmbea sio sifa.
Sio denda?[emoji16] [emoji16] [emoji16]Walinyonyana damu
Na ile mimba yetu je[emoji15]weeee komaaa natafuta mchumba mm usinharibie puliiiiz
Haufungwi huu...NN na Dina wamewakomoa wapo PM saa hizi wanaombana Msamaha sasa uzi umekuwa kama Msiba wa Shoga.
Tuweni tu makini ni Rasmi nasema UZI UMEFUNGWA.
Hapana kwa niaba ya mia mchokoza ugomvi naomba yaishe I'm begging u!!pleaseeNyie watu hamchoki?
Bado mnataka vita iendelee?
Manake hiyo ilikuwa amsha amsha tu....
Semeni suuuuuu
Acha hizoo weeuweeUfungweeeeee uzi
weee sahv ww nakuogopa kama huyu kaka anayesemwa apa leoNa ile mimba yetu je[emoji15]
Dina amehitimisha kuwa hata kutaja, yaani ameamua kuacha na kusamehe.Nyie watu hamchoki?
Bado mnataka vita iendelee?
Manake hiyo ilikuwa amsha amsha tu....
Semeni suuuuuu
hahaha kaweka kaugumu flan kwenu,mpqka tutumie nguvu sanaTunasutanaga Wenyewe wanawake tulionana live tena miaka hiyo akili za utoto,ila jamani sijaona mwanaume jf akasutana akachambana mbaya zaidi akachukua picha za wadada kubandika humu,nimeonana na wengi sana misibani,sherehe kunywa pombe,kwenye ugonjwa,makazini na tunasaidiana kweli kweli sijawahi kujuta kukutana na wanajf,ila huyu mmoja anataka watu waogope hata kuonana kupeana round za balimi,anyway as he claim yeye msomi,baba mwalim chuo,borntown kitambo umeachana na mwanamke mmpepishana hiyo ndo njia ya kumaliza tofauti,nlitegemea usomi(inaweza kuwa kweli huyu form four failure) wake na kuishi jirani na usher angemaliza hili vyema sana,ila bwaaaa yeye na mimi mkuna nazi hatuna tofauti.
Kwa ambao hawamjui wameshamjua sasa,sidhani kama atapata kyuma tena humu,
Halafu wewe nakuangalia tuBora alikutosa hilo limbwata...