Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Heee yaaan nimechoka!

Hawa inaonesha walishatambulishana mpaka kwa wazazi!

Ukiona watu wanafatana fatana ujue kuna elements za mapenzi!

Gen tuwaachie mapenzi yao khaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjini mkata kamba akapita taaaaappp akalikata penziiii!!!
Wanatuachia msala sie hapa
 
Heee yaaan nimechoka!

Hawa inaonesha walishatambulishana mpaka kwa wazazi!

Ukiona watu wanafatana fatana ujue kuna elements za mapenzi!

Gen tuwaachie mapenzi yao khaaa!
Hivi Wit ikitokea tukatomb.na na mwishowe tukagombana ni busara kuvuana nguo hadharani?
Je mimi kama mwanaume nikaamua kukupuuza si na watu watapuuza?
Unajua jinsi wanavyoandamana ndivyo watu wana??????
 
Yaap kuhusu picha yaweza kua amesambaza yeye au hajasambaza yeye!.
How far do u sure she was the one duin that stupidity!!

Am not serious taking anybody's side broh!jus wanna know a little I heard!!!

Kumbuka humu wengi wanakujua wewe!!yawezekana wao ndo wamefanya hivyo pia ili kukugombanisha na Dina kwa sababu tayari mna quarrels u know!!!

Na kama amefanya hvyo yeye ngoja nimuulize pia hapa!!

Am sorry pia coz I do appreciate u!
Si kwa maheshima haya gen[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si kwa maheshima haya gen[emoji23] [emoji23] [emoji23]
I do respect him wit hajawahi nikosea hata Siku moja huyu NN so hizi mambo ninavosikia zinachosha akili

Humu watu tunajuana na kuheshimiana pia maana jf ni zaidi ya stress free zone!!!

It's our second home learning many thing right here kwa watu kama kina NN
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom