Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
hao wa namna hiyo tunawatafuta mzee... wanatuibia saana change zetu tukishalewa kaunta ya juu.Mkuu mbona kuna mabarmaid ambao ni wanawake wa shoka
Kuna mmoja najua kajenga bonge la nyumba chanika na ana watoto wawili wapo shule nzur sana