Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndio unachokitaka hiko badamu batamwagika
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] mkitombana mkimalizana mkae kimya hatutaki upuuzi hapa[emoji125] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwendo ule ule hakuna kuanika mchele kwenye Broiler [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Okay broo!!jus calm down broh!nimeelewa sasa I know its hurt km alifanya hvyo...!!!

Maombi yangu mshachafuana sana sasa hivi enough is enough whatever happened between two of u...!!!let's close the chapter

Mmeshadhalilishana sana!!ninyi nyote ni wetu!!!jf is our home!

Ifike muda mkuwe sasa,u and dina!!!
Ninyi ni watu wazima na watu wanawafahamu baadhi yenu humu!
To be honest kilicho hapa ndicho kilicho akilini mwako ndo maana mtu akikukwaza unamfikiria mpk unamkomesha kivingine...

Naomba yaishe msameheane maisha yaendelee mengine!

Jus life is too short to complicate!!

Nna mengi ya kusema but I won't here yawe kweli au uongo ila yanahusu wewe na wadada wa jf niliyoongea leo yanatosha

Hata km uongo ila yanasemwa and I heard kutoka kwa watu!

Am sorry kama nimekukwaza my bro!very sorry
Kasie analijua hilo swala la kulana?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom