Okay broo!!jus calm down broh!nimeelewa sasa I know its hurt km alifanya hvyo...!!!
Maombi yangu mshachafuana sana sasa hivi enough is enough whatever happened between two of u...!!!let's close the chapter
Mmeshadhalilishana sana!!ninyi nyote ni wetu!!!jf is our home!
Ifike muda mkuwe sasa,u and dina!!!
Ninyi ni watu wazima na watu wanawafahamu baadhi yenu humu!
To be honest kilicho hapa ndicho kilicho akilini mwako ndo maana mtu akikukwaza unamfikiria mpk unamkomesha kivingine...
Naomba yaishe msameheane maisha yaendelee mengine!
Jus life is too short to complicate!!
Nna mengi ya kusema but I won't here yawe kweli au uongo ila yanahusu wewe na wadada wa jf niliyoongea leo yanatosha
Hata km uongo ila yanasemwa and I heard kutoka kwa watu!
Am sorry kama nimekukwaza my bro!very sorry