Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Amu nadhani tusameheane nisamehe kutokulisoma hilo, Kina Espy wajanja walikimbia mtego, Ila sijilaumu Sana ni Mapito ,acha tu ndio maana umeona kwa G hadi password wengine wanadhani G gelesha nawacheka kweli

Nadhani Mungu akifunga mlango mmoja hufungua hata dirisha mwanga uingie nadhani kwangu Mungu kafungua mageti yote now

Wengine hapa anawalaghai laghai kwa mineno Mitamu, wapo wapi kina Mwafrika mimi nna damu ya Kisomali sikimbii Vita Kabisa,
Uliyoongea wasipojifunza watalia Siku moja Hakuna mtu muongo jf Kama huyo baba hayupoo nadhan we ni member wa muda mrefu unamjua ,wala watu wa kishua humu wapo kimyaa

Leo nimemaliza kinyongo changu kabisa sitomuongelea tenaa huyu mtu
Umekuwa [emoji8]
 
Yaani watu wangekua wanajifunza kupitia wewe,upo busy na tunguli zako ingawa nawe nakumind nilikuombaga limbwata nime mtu hujanipa hadi leo
Sihusiki na huu uzi ila naumia sana.... Tukumbuke kuna maisha baada ya hapa na nje ya JF.... Mbaya zaidi maandishi hayafutiki... Kuna siku maandishi haya haya yatakuja kugeuka fimbo mbaya hata kwa hawa wapambe wanaochochea mgogoro... RRONDO kakimbia ila angerudi tupambane uzi uondolewe... Tusiifanye CHITCHAT sehemu ya kuogopwa na JF isitumike kama bakora ya kuchapana kwenye maswala private nje ya jukwaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom