Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi siku ile Ulifanikiwa kuonana na yule Mh?Hapana naogopa tupigeni stori nyingine
Wee Dina?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa
AiseeMwanaume kuwa mmbea sio sifa.
Ha haa haaa..... UmenifurahishaOkay I'm out!!!
But before leaving maana ya prodding ni nini?
KabisaaWapo wengi tu watampa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Wewe na Jerry Muro mna undugu?Watu wameshiba udambwi ubuyu ndo wanatoa nasaha asee![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi siko hivyo mwenzenu nabalansishaga storee then napatanisha!
Tunapewa wote sawaNitakutunukia cheti la umbeaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Una uhakika na haya unayoyasema au kuna jingine nyuma ya pazia?
TuhitimisheeeeKabisaa
Nakazia uzi ufutweee mods mkujeeeeMods umbea haujawatosha tuuu futeni huu uzii[emoji6][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunapewa wrote sawa
[emoji8] [emoji13]Tunapewa wrote sawa
Nimeuliza walengwaaUnataka kuliwa eeee
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kweli sijui sasaa!nimeuliza!maana NN nomaa kwa inglishHa haa haaa..... Umenifurahisha
Mmmmh jomoniiHuu uzi ungeendelea kuusimamia hakika ungekuwa kuwa kama ule uzi wetu wa wazee wa Kubet.
Ili iweje, na wewe unapendelea nini?Nimeuliza walengwaa
Nandy michupi!Mdogo wangu kumbe wewe ndio nandy(kivuruge)
Wit uzi ufutwe mamaAcha hizoo weeuwee