Planet 2000 wazee wa Hii ndo babkubwa
Huyo ni Crazy dog,one of the very talented bros,sema Tungi ndo ilimfanya asiwe na ufanis
Inasemekama those days akina Mike Tee,na Zay B wameandikiwa sana lyrics na Crazy dog
Mdogo Crazy dog,Walter yupo hapa town ndo yule male guy aliejaa kwenye matangazo ya "Rud nyumban kumenoga" ya TTCL na anaimba gospel pia
Kuna Peace E,enzi hizo za akina planet 2000 alitamba na kibao cha house boy,akiwa na jamaa mmoja alikuwa bonge hiv,sijui Liz one,or somethn jina simkumbuki vyema