Yuko wapi producer Ambangile Mbwanji maarufu kama Producer Amba?

Walter classmates wangu alikua,Peace E wa house boy nadhani ndo Eliya sio Ridhone , Unanikumbusha don bosco na Kleruu mkuu na jiwe gangi[emoji2] [emoji2]
 
Walter classmates wangu alikua,Peace E wa house boy nadhani ndo Eliya sio Ridhone , Unanikumbusha don bosco na Kleruu mkuu na jiwe gangi[emoji2] [emoji2]
Hiv alisoma Lugalo nadhan
 
Dah km ni producer wa ngoma ya "nakupenda sana hip hop" roho saba..... Basi salute sana hii ngoma si mchezo asee.
 
Mkuu mbona nilishawahi sikia alihamia dar na studio yake ilikua majumba sita huko dar?
Sina uhakika wa hili lakini
NI KWELI,
MIAKA YA 2013 - 2015 ALIKUWA DAR,

NA MIMI ALINIREKODIWA TRACK MOJA AMBAYO HUWA NASIKILIZA NA MASELA WANGU KITAA,
INGAWA HAKUIFANYIA MIXING ILA MDUNDO WAKE UKO NJEMA.
 
NI KWELI,
MIAKA YA 2013 - 2015 ALIKUWA DAR,

NA MIMI ALINIREKODIWA TRACK MOJA AMBAYO HUWA NASIKILIZA NA MASELA WANGU KITAA,
INGAWA HAKUIFANYIA MIXING ILA MDUNDO WAKE UKO NJEMA.
Vip hayuko instagram huyu jamaa kweli Amba!!
 
Mshikaji yupo sema, alijikita Katka business nyingne, n jiran yangu kabsa
Mmh,wapi mkuu?!
Coz nimeonana na mkewe juzi kati tu hapa,wapo busy kumtumikia Mungu,ana huduma yule!

Nimesoa nao wote na mkewe sekondary
 
Hahaha hili kundi bwanaa
Mmoja wao nilikuwa nae class moja kabla hajahama
Mkuu unawakumbuka Planet2000? Yb Gpop na Fred E? Nilisikia Fred kachoka sana siku hizi kiafya. Afu kuna mtu aliimbaga ile nyimbo ya salima somebody crazy nani cjui hv yupo nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…