Yuko wapi producer Ambangile Mbwanji maarufu kama Producer Amba?

Shida kuwa kila mtu anataka ajifanya anamjua kiundani...nacheka kwasababu mengine ni ya uongo kabisa ha ha haaa
 
Mtoto wa mchungaji mbwanji..
Yupo iringa anaendeleza mradi wa mama yake wa kufuga kuku akishirikiana yeye mama yake na mdogo wake joshua,
pale nnje kwao kuna duka la mahitaji ya nyumbani yeye kaweka mitungi ya gas,mpesa na tgo pesa..
Kwa sasa bado anajenga nyumba yake sehemu inaitwa changalawe ni umbali wa km 1 kutoka na nyumbani kwao
Gari anayotembelea ni IST number c nyeusi imechoka choka.

Ile nyumba ilipokuwa studio miaka ya zamani ni nyumba ya marehemu mchungaji ngede bado ipo kwa matumizi ya familia..
Ile nyumba imetoa vipaji kama kenani kihongosi alikua mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa iringa nafikiri amaeachia ngazi mwaka huu kwa sada yupo kwenye mbio za mwenge.

Una swali jingine niingie chimbo?
Yule mzee wake mchungaji mbwanji mzima?
Na yule mama yake alikua mwalimu nae mzima?
Miaka mingi kweli sijawaona!
Mama yake alinifundisha primary kitambo sana alikua anang'ata kibeberu sana
 
Mzee wake nafikiri alifariki
Mama yake bado yupo na nguvu zake si unajua walimu hawazeeki mapema muda mwingine huwa anasaidia kuuza duka..bado anafundisha
 
Daaa Shukran Mkuu!
 
Mzee wake nafikiri alifariki
Mama yake bado yupo na nguvu zake si unajua walimu hawazeeki mapema muda mwingine huwa anasaidia kuuza duka..bado anafundisha
Daaa Shukran Mkuu!
 
Shida kuwa kila mtu anataka ajifanya anamjua kiundani...nacheka kwasababu mengine ni ya uongo kabisa ha ha haaa
Mkuu tupe walau kidogo!
Lengo sio kutaka kumdhalilisha au namna nyingine.....
Ila tunatamani kujua yuko wapi anafanya nini na pengine kwanini aliacha kutengeneza muziki kwasababu alikua na kipaji kikubwa mno!
Tupe madini hayo mkuu
 
Mtoto wa mchungaji mbwanji..
Yupo iringa anaendeleza mradi wa mama yake wa kufuga kuku akishirikiana yeye mama yake na mdogo wake joshua,
pale nnje kwao kuna duka la mahitaji ya nyumbani yeye kaweka mitungi ya gas,mpesa na tgo pesa..
Kwa sasa bado anajenga nyumba yake sehemu inaitwa changalawe ni umbali wa km 1 kutoka na nyumbani kwao
Gari anayotembelea ni IST number c nyeusi imechoka choka.

Ile nyumba ilipokuwa studio miaka ya zamani ni nyumba ya marehemu mchungaji ngede bado ipo kwa matumizi ya familia..
Ile nyumba imetoa vipaji kama kenani kihongosi alikua mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa iringa nafikiri amaeachia ngazi mwaka huu kwa sada yupo kwenye mbio za mwenge.

Una swali jingine niingie chimbo?

Umemsahau na Marlaw - Bembeleza!!
 
Ambangile Mbwanji a.k.a Amba huyu jamaa nampata pata alisoma class moja na brother angu enzi hizo secondary shule inaitwa Ruaha tech (Ruaha sexondary sikuhiz) mkoani Iringa
Alikua mtu poa sana
 
Ambangile Mbwanji yupo iringa na anamgahawa pale miyomboni me nimesoma nae na ni mshikaji wangu na hata alivyokuwa na studio kule majumba sita nishawapeleka sana vijana walokuwa wanashida na amber moja kwa moja...Ila Maisha anafanyia iringa saivi...
 
Studio ya majumba sita ni hapa dar?
 
Umemsahau na Marlaw - Bembeleza!!

Achana na marlaw kuna wasanii kama
Yaki
E2k
Roby G
Ibu
Ibra nation
Rohosaba

Walikua wanafanya kazi bure.
Amber amewasaidia wengi sana ndio mana anaanza kufanikwa nnje ya mziki

Kuna mwenzio alikua anashoot video anaitwa mecky kaloka
 
Yap...alipokuwa anakaa alikuwa na studio yake ndani ila sasa alipokuja kuoa alihamia iringa sasa itakuwa studio ipo huko pia, sijamtafuta sikunyingi ila contact zake nnazo
Jamaa ni mpole sana na sura yake pia imekaa kipole..
Iringa sidhani kama kuna studio kubwa kama ilivyokuwa AB RECORD
 
Mkuu tupe walau kidogo!
Lengo sio kutaka kumdhalilisha au namna nyingine.....
Ila tunatamani kujua yuko wapi anafanya nini na pengine kwanini aliacha kutengeneza muziki kwasababu alikua na kipaji kikubwa mno!
Tupe madini hayo mkuu
Jamaa yupo hapa Iringa anajihusisha na biashara mbali mbali nyingi zinahusiana na vyakula....mambo ya muziki siku hizi hafanyi kajikita kwenye biashara.

Kwanini hatengenezi tena mziki ni suala dogo tu kuwa mziki wakati wake ulikuwa haulipi kivile, ilikuwa ni kupoteza muda na hasara tu wakati ule...hata sasa sidhani kama maproducer wanatengeneza pesa kivile
 
Ambangile Mbwanji yupo iringa na anamgahawa pale miyomboni me nimesoma nae na ni mshikaji wangu na hata alivyokuwa na studio kule majumba sita nishawapeleka sana vijana walokuwa wanashida na amber moja kwa moja...Ila Maisha anafanyia iringa saivi...
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Jamaa yupo hapa Iringa anajihusisha na biashara mbali mbali nyingi zinahusiana na vyakula....mambo ya muziki siku hizi hafanyi kajikita kwenye biashara.

Kwanini hatengenezi tena mziki ni suala dogo tu kuwa mziki wakati wake ulikuwa haulipi kivile, ilikuwa ni kupoteza muda na hasara tu wakati ule...hata sasa sidhani kama maproducer wanatengeneza pesa kivile
🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom