Yuko wapi producer Ambangile Mbwanji maarufu kama Producer Amba?

Yuko wapi producer Ambangile Mbwanji maarufu kama Producer Amba?

Man Fissa 😂😂😂😂😂😂kitambo sana
Kama sikosei amesoma pommerin secondary enzi hizo ilikua shule ya moto kishenz
Man Fisa hakuwahi kusoma Pomerini, Man Fsa kasoma Lugalo kisha akahamia Njosi...sasa hivi ni Fundi sofa
 
Man Fisa hakuwahi kusoma Pomerini, Man Fsa kasoma Lugalo kisha akahamia Njosi...sasa hivi ni Fundi sofa
Basi nadhani alikua anakuja kwa washkaji zake pale maana hilo jina lilikua maarufu sana pale poms
 
Basi nadhani alikua anakuja kwa washkaji zake pale maana hilo jina lilikua maarufu sana pale poms
Lilikuwa maarufu kwasababu watoto wa Poms wengi ni wahuni wa Iringa town kwahiyo kwavyovyote vile atakuwa alikuwa na washkaji zake hapo
 
Lilikuwa maarufu kwasababu watoto wa Poms wengi ni wahuni wa Iringa town kwahiyo kwavyovyote vile atakuwa alikuwa na washkaji zake hapo
👊👊👊👊👊👊
 
Daaa umenikumbusha Waite polisi hili jiwe hatari sana halafu ukisikiliza kwenye earphones Kuna mdundo flani unagonga kwenye sikio moja halafu unaunganisha masikio yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ilikua ni pure talent!

Watakaobisha hili la mziki kugonga earphone ya sikio moja halafu unaunganisha masikio yote wasikilize wimbo wa Addo novemba - utabaki kuwa Mungu alitengeneza huyu mwamba!
Hii wengi tunaijua mbona karbia watu wote tunaojuajua kutengeneza beat kugongesha disc moja then ikafuata ya pili ni kawaida tyu
 
Mkuu hapa nadhani umewapotosha watu....Amba kaenda kaenda Dar kufanya mziki kwa vipindi viwili...kipindi cha kwanza alikuwa chini ya studio ya mtu akakaa huko baadaye akarudi Iringa ndipo akafungua studio ya AB record ambayo ilimilikiwa na Amba pamoja na Ben..baada ya hapo akarudi tena kufanyia shughuri zake Dar ndipo akapotea moja kwamoja karudi kufanya shughuli zake
Upo sahihi ila ya dar hii nayoijua official amba tayari alishajikita kwenye gospel production.hiyo ya kwanza asante kwa kunijuza..ila mimi nilinukuu maelezo ya interview yake
 
Upo sahihi ila ya dar hii nayoijua official amba tayari alishajikita kwenye gospel production.hiyo ya kwanza asante kwa kunijuza..ila mimi nilinukuu maelezo ya interview yake
Amba alianza mziki akiwa shuleni, jina lake lilikuwa haswa na watu kumjua alipokuwa Dar, ndipo baadaye akarudi Iringa akafungua AB record akiwa tayari ana jina kubwa alilolijenga akiwa dar...kwahiyo dar alirudi mara ya pili ndo nadhani akajikita zaidi kwenye ofspel kisha karudi Iringa tena
 
Achana na marlaw kuna wasanii kama
Yaki
E2k
Roby G
Ibu
Ibra nation
Rohosaba

Walikua wanafanya kazi bure.
Amber amewasaidia wengi sana ndio mana anaanza kufanikwa nnje ya mziki

Kuna mwenzio alikua anashoot video anaitwa mecky kaloka
Unaweza tupia nyimbo ya yaki?
 
Msimsahau na Kamte

Alikuwa anawarekod Mack unit wa makorongoni

Nas B enz hizo hajawa mtangazaji, alikuwa ni mwalimu wa mapinduzi

Msimsahau Fredy wa Flat Record, siku hiz amekuwa mchungaji
 
Msimsahau na Kamte

Alikuwa anawarekod Mack unit wa makorongoni

Nas B enz hizo hajawa mtangazaji, alikuwa ni mwalimu wa mapinduzi

Msimsahau Fredy wa Flat Record, siku hiz amekuwa mchungaji

Fredy amefata nyayo za baba yake za kuwa mchungaji,kuna pesa kule si unaona kijana ameanza kunaiwili
 
Msimsahau na Kamte

Alikuwa anawarekod Mack unit wa makorongoni

Nas B enz hizo hajawa mtangazaji, alikuwa ni mwalimu wa mapinduzi

Msimsahau Fredy wa Flat Record, siku hiz amekuwa mchungaji
Mkuu unawakumbuka Planet2000? Yb Gpop na Fred E? Nilisikia Fred kachoka sana siku hizi kiafya. Afu kuna mtu aliimbaga ile nyimbo ya salima somebody crazy nani cjui hv yupo nae?
 
Mkuu unawakumbuka Planet2000? Yb Gpop na Fred E? Nilisikia Fred kachoka sana siku hizi kiafya. Afu kuna mtu aliimbaga ile nyimbo ya salima somebody crazy nani cjui hv yupo nae?
Planet 2000 wazee wa Hii ndo babkubwa

Huyo ni Crazy dog,one of the very talented bros,sema Tungi ndo ilimfanya asiwe na ufanis

Inasemekama those days akina Mike Tee,na Zay B wameandikiwa sana lyrics na Crazy dog

Mdogo Crazy dog,Walter yupo hapa town ndo yule male guy aliejaa kwenye matangazo ya "Rud nyumban kumenoga" ya TTCL na anaimba gospel pia

Kuna Peace E,enzi hizo za akina planet 2000 alitamba na kibao cha house boy,akiwa na jamaa mmoja alikuwa bonge hiv,sijui Liz one,or somethn jina simkumbuki vyema
 
Back
Top Bottom