Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Mimi kutoka chanzo Cha ndani kabisa Kigali Rwanda nikua mzee wetu TAYAR KAUMA SHUKA.Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema PK ameshadanchi.
Kwamba kauma mwenyewe au wamemng'atisha ile ki scudu makudubele?Mimi kutoka chanzo Cha ndani kabisa Kigali Rwanda nikua mzee wetu TAYAR KAUMA SHUKA.
View attachment 3374540
Kutoka chanzo kimoja Cha ndani kabisaaa kina SEMA mzee is no more.Kwamba kauma mwenyewe au wamemng'atisha ile ki scudu makudubele?
Bado msevenNimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema PK ameshadanchi.
tulikuja kuambiwa baada ya week 2,Madikiteta habari zao zinafichwa saana
Kwani kuna yeyote aliyesema kuwa PK (Pontius Pilate) hawezi kufa?Asife yeye nani? Kila nafsi itaonja mauti
"Unavyosikia" umeskia kwa nani?Haha kila mtu ana mtizamo wake kumhusu, ila ninavyosikia huyo jamaa ni mbaya sana kwanza vita ya Kongo ana mkono wake, halafu aliwapoteza waliomsaidia kuingia Madarakani........dikteta flani hivi.
Mbona we unajipendekeza kwa DRC?Unamuombea wewe kama Nani? Utakuta baba yako mzazi ni Hoi mgonjwa Wala humkumbuki. Tuacheni hii kasumba na tabia ya kujipendekeza. Siyo nzuri Kabisa.
Long live DRC
Baba yako na Mama yako Tayari wamekufa? Kama bado tunasubiri kwa hamu pia kifo chaoBado mseven
Watu punguzeni unafiki aiseeLitakuwa ni pigo la karne...I pray for PK
Dogo nshakushtukizia utakuwa mtutsi Tu.Mbona we unajipendekeza kwa DRC?