Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

Uyu jamaa ni msiri sana, sijawai kuyaona macho yake tangu aitawale china adi leo
 
_Putin Ni mgonjwa Sana hafikishi miezi mitatu atakufa. Ana ugonjwa wa Parkinson sawa na ulomuua Mohamad ali. by Bbc
_Putin alishakuwa anayeonekana Ni clone yake yaani Kama copy yake. By Ukraine
_Uso was Putin Sasa unaonesha kukata tamaa juu ya Vita kule Ukraine. Hana uso was furaha Kama zamani.
Putin Ni mzima wa Afya. by PENTAGON
NYINGINE.
Kiduku alishakufa kwa Sasa dadake mpenzi ndie anasemwa atashika madaraka.
Angekua mzima angeonekana Hana tabia ya kutoonekana muda mrefu hivi. Miezi mitatu.
NYINGINE
Xi Jingping amepinduliwa. Hajaonekena tokA alipotoa mkutano was SCO.
Hao wore waliosema hayo haikuwahi kutokea Jambo la kweli na ajabu Ni Kwamba anaeanzisha Hili Ni US na wenzake wa Ulaya
 
Mchina hawezi kucheza na mmarekani

Comments zako zina ukweli gani?? Yaani Taifa la VietNam lingekuwa ina imani kama hizi, basi taifa hilo lingebaki chini ya utawala wa Merikani daima duni!! Any idea kwa nini majeshi ya Merikani (a super power) yalitimuka unceremonously kutoka VietNam???
 
Bro nimekuwa naenda vietnam ndan ya miaka 2 sasa aisee huwez kuamin kuwa walikuwa na bifu na marekan. Kwasasa hiv hawa jamaa wamewakumbatia wazungu kuliko mchina. Sema walichonishinda ni boda boda. Nyingi Mno pale Rangoon
 
Vipi sembe inabebeka?

X
View attachment 2366778

Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.

Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika semina ya Ulinzi wa Kitaifa na Mageuzi ya Kijeshi iliyofanyika Beijing Septemba 21 baada ya kurejea haraka kutoka kwenye mkutano wa SCO.

Kutokuwepo kwake kuna maelezo mawili tu. Ama hali yake ya kiafya ni mbaya sana, au hayuko tena katika nafasi ya uongozi ya amri jesh mkuu na mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi ya China.

Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).
Xing nimiongoni mwa viongozi wenye busara Sana binafsi na support maa mzi yake kuhusu taiwani dhidi ya marekani
 
Bro nimekuwa naenda vietnam ndan ya miaka 2 sasa aisee huwez kuamin kuwa walikuwa na bifu na marekan. Kwasasa hiv hawa jamaa wamewakumbatia wazungu kuliko mchina. Sema walichonishinda ni boda boda. Nyingi Mno pale Rangoon
Vietnam kuna Rangoon pia?
 
Back
Top Bottom