MamboMuulize shetani,..
Unasoma darasa la ngapi ndugu?Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio.
Yuko wapi sasa?
Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine.
Yuko wapi sasa?
Aliye niblock kwenye simu ili nilimpigia au kutuma sms zisimufikie.
Yuko wapi sasa?.
Hamna, alikuwa anampima kama anampenda kweli. Ndivyo ilivyo.Achana nae,usitake kujua alipo
Kwasababu hata yeye hajawahi kuwa interested na wewe ndio mana kakublock na kuignore jumbe zako