Yuko wapi sasa?

Yuko wapi sasa?

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio.
Yuko wapi sasa?

Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine.

Yuko wapi sasa? Aliye niblock kwenye simu ili nilimpigia au kutuma sms zisimufikie.
Yuko wapi sasa?.
 
Achana nae,usitake kujua alipo

Kwasababu hata yeye hajawahi kuwa interested na wewe ndio mana kakublock na kuignore jumbe zako
🙏🙏🙏
 
Achana nae,usitake kujua alipo

Kwasababu hata yeye hajawahi kuwa interested na wewe ndio mana kakublock na kuignore jumbe zako
🙏🙏🙏
 
Yuko wapi sasa alikuwa anavujisha siri za ikulu na kusema wananyimwa Uhuru wa vyombo vya habari.
 
Aliye niblue tick WhatsApp akani mute hadi status, akaweka dislike kwenye bio.
Yuko wapi sasa?
Hakunijibu sms nilivyo mu DM instagram wala nilivyo mu PM kwenye social network zingine.
Yuko wapi sasa?
Aliye niblock kwenye simu ili nilimpigia au kutuma sms zisimufikie.
Yuko wapi sasa?.
Unasoma darasa la ngapi ndugu?
Maana kwa huo mwandiko napata wasiwasi kwamba huenda hujaenda shule leo na umeiba simu ya mamako ili uingie Jf
 
kaolewa na walienda honey moon uturuki
yaani kwangu angevisikia kwenye bomba tu au kuviona kwenye tv
 
Unasoma darasa la ngapi ndugu?
Maana kwa huo mwandiko napata wasiwasi kwamba huenda hujaenda shule leo na umeiba simu ya mamako ili uingie Jf
Shule sikufika ndugu.
Ila nipo nakula matunda ya CCM
Cc: Sabaya
 
Back
Top Bottom