Yuko wapi Tundu Lissu?

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki

Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi?

Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo?

Lissu popote ulipo naomba jitokeze ulipo hata kwa Salam tu .

Nawakilisha wakuu
 
Hii nchi tamu, kaa sehemu sahihi tu, karibu na mpishi, nakukumbusha tu, katika mila za kiafrika, huwa hatuongei wakati wa kula
 
Mwamba yupo anajifua na kuweka nondo zake Sawa ili akianza noma akinukishe kweli kweli

Uchaguzi ujao Mbowe na utapeli wake akae pembeni amuache Kamanda aipatie nchi kinacho staili
 
Ndugu wana jf popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki

Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu...
Atakua ameenda ubeljiji kupokea mshahara wake😂🤣
 
Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki

Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu...
Ukisikia kuwa Samia ni mwanasiasa aliyewiva basi indicators zake ni kama hizi. Leo Lissu anatafutwa kwa vile hasikiki.

Hasikiki kwa vile Samia ameruhusu kila kitu vyama vya upinzani vifanye. Karuhusu shughuli za vyama vya siasa, karuhusu maandamano. Wamefanya maandamano Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar es Salaam, matokeo ya maandamano yao wanayajuwa wenyewe.

Laiti Samia angewakatalia kufanya maandamano basi sasa hivi ungesikia kila siku kwenye social media wakidai maandamano.

Hapo ndipo unatambua kuwa Urais wa Tanzania hauhitaji mabavu na kuua wapinzani kama alivyokuwa anafanya Magufuli bali unahitaji akili na busara tu
 
Tundu Lissu yuko mahali aki chekiwa afya yake,alitembea kilometa nyingi sana kwenye maandamano. Ni desturi yake akifanya hivyo lazima amuone daktari wake
 
Tundu Lissu yuko mahali aki chekiwa afya yake,alitembea kilometa nyingi sana kwenye maandamano. Ni desturi yake akifanya hivyo lazima amuone daktari wake
Hii umeipata wapi ? Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…