Yuko wapi Tundu Lissu?

Aliyekwambia tundulisu mzalendo ni nani umempamba paka umepitiliza mmmh
 
Mwamba yupo anajifua na kuweka nondo zake Sawa ili akianza noma akinukishe kweli kweli

Uchaguzi ujao Mbowe na utapeli wake akae pembeni amuache Kamanda aipatie nchi kinacho staili
2025 wapinzani hawatasimasha mgombea kiti cha urais,
Watamuunga mkono atakayesimamishwa na chama tawala.
Wapinzani wataelekeza nguvu ubunge na udiwani.
 
Maandiko yanaposema atendaye dhambi ni wa ibilisi unadhani yamekosea?
 
Chacha Wange Je?
Nyie chawa ipo siku tutawashangaza sana, mnajua uchungu wa mzazi alie beba mimba mwezi tisa na kumlea mtoto fika level ya Ben ? Hujuhi uchungu wewe kaa kimya ,Rais kwa kua ni mama anajua hili , acheni ujinga wakichawa sasa nitaanzisha kampein ya Ben sio mda ,tuna mtaka
 
Mkuu pindi Magufuli alipo kuwa ana uwa wewe ulikuwepo,au na wewe ni mmoja ya watu walio uliwa?
 
Wewe nae ni mpumbavu usiejua kuchanganua mambo, kwa hiyo wewe unataka kila siku Lissu awe mtaani au kwenye vyombo vya habari Just kuwafurahisheni nyie wapumbavu? Sa100 mbona ni rais ila ndani ya siku hizi mbili hasikiki? Sio kila time unakuwa kwa media kenge wewe
 
Ndiyo maisha waliyochagua, ku-trend kwenye vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…