Yuko wapi Tundu Lissu?

Nimeona in 4days alikuwa na Mkutano somewhere kupitia Youtube. I think yupo.

Unajua Nchi iko kwenye mtanzuko wa maswala Mbali mbali.

Nina Uhakika Huyu Mtumishi wa Mungu Tundu Lissu Eliya na Daniel wa Nyakati zetu Yuko Salama.

Popote Alipo Apokee Salam Zangu.

AllahuAkbar
 
Lissu alikuwa anatafutwa nyakati zote.

Lissu hajawahi kuchuja.

Hata wewe unampenda sema tu........!!! Basi
 
Poor analysis. Usiudanganye Umma!!
 
Yupo busy na kazi zake za kimataifa
 
Wewe ni mjinga sn, kwahiyo hii nchi ni mali binafsi ya Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…