Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

DAH! JAMAA ALIUMWA SANA BAADAYE AKAZUSHIWA KIFO, SJUI HATA ANAENDELEAJE...
 
Ana tatizo la kwenye ubongo ambalo hawezi kurudi Katika hali ya kawaida tena Katika maisha yake. Ila ni mambo ya kifamilia hayo.Hata Muhimbili waliligundua hilo na hata kwenda India ilikuwa haina maana kwasababu ni tatizo ambalo ukipata halina tiba zaidi ya palliative care tu.

Alipelekwa tu India na Serikali kwasababu wakati ule kundi lilikuwa maarufu na ilionekana kama viongozi wanapelekwa India why not Wasanii lakini kitaalam walikuwa wanaojua nothing new will be detected or diagnosed.

Yuko Kigamboni kwa Babu na baadhi ya ndugu zake wakimpa msaada pamoja kundi lao la OK likiongozwa na Masanja Mkandamizaji.

Ila inasikitisha sana.
 
Mkuu huo ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Mbona alikua poa tu mara akaanza kuumwa?

Anyway jamaa alikua anapatia kuigiza ugonjwa wa mh Mrema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…