johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #241
Hahahaaaa...... Patrick Mwangata yule golokipa aliyesoma shule ya msingi Mwananyamala kisiwani?we jamaa mbona kama unataja watu wa home kinondoni biafra , mitaa ya itaga hadi kanisani... kwa kina ngozi, na tizo tolu... maana home ilikuwa mitaa ya kina patrick mwangata...
Ngoja nkirudi mjini nkamtembele mzee songambele npate 2,3 kwakeHahahaaaa...... Patrick Mwangata yule golokipa aliyesoma shule ya msingi Mwananyamala kisiwani?
Bwashee hiyo mitaa naijua sana.
mambo ya tanga na satellite coach alikua ameandika basi zake tatu maneno tofauti ya kwanza aliandika .. "makorora wadeka", ya pili akaandiak "waache wadeke" ... ya tatu akaiandika "makorola ni yao"... pia kulikuwa na basi za tayasar, ngorika, tashrif, na mengine kibao tu... trip dara tanga naNa sisi wa Sharuk's bus, Dar Oyee, nk kutoka Ifakara kwenda Dar! Basi linaondoka Ifakara saa 12 jioni kuelekea Dar!
Kuna Satelite bus, Shengena, Zafanana, Fresh ya Shamba, Simba Mtoto, Zamoyoni, Dar Tanga, Dar Gonja, Dar Lushoto, Dar Arusha!! Dar unaingia saa 10/11 alfajiri!! Na hakuna cha ajali wala ujambazi!
Enzi za Mzee wa Ruksa!
Unajua mzee Songambele ile nyumba yake pale Komakoma jirani na mzee Said Tanu alimuuzia mzee Mvulla mmiliki wa bendi ya Super Matimila?Ngoja nkirudi mjini nkamtembele mzee songambele npate 2,3 kwake
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] BabaYule bwana alinitoa Mbeya saa 2 asbuhi na kunifikisha Dar saa 10 jioni, nilishilikia siti mwanzo hadi mwisho
Hahahaaaa...... Patrick Mwangata yule golokipa aliyesoma shule ya msingi Mwananyamala kisiwani?
Bwashee hiyo mitaa naijua sana.
Aisee......mimi nilikuwa nachezea timu ya Lion uwanja wetu ulikuwa pale ilipojengwa hospitali ya mwananyamala baada ya kuitanua.ndo mitaa yetu ya kujidai ilikuwa kuanzia mwananyamala kisiwan... kino msisiri hadi huku juu kwa mvungi... mpira tunachezea aidha biafra au kino shule pale bwawan karibu na mahakama.... tukicheza mechi tunacheza na watoto wa mitaa ya kino shamba au watoto wa kule shule ya kumbukumbu.. nakumbuka pale biafra kuna kanjia ka kutokea upande wa pili wa barabara inayokwenda shule ya kumbukumbuku na ada estate.. basi kuna jumba ilikuwa limetelekezwa tukazushiana wanakaaa majini.. lilikuwa bonge la nyumba sema halika mtu
Hahaha mitaa yangu hiyoUnajua mzee Songambele ile nyumba yake pale Komakoma jirani na mzee Said Tanu alimuuzia mzee Mvulla mmiliki wa bendi ya Super Matimila?
Ile mitaa ilikuwa imetulia sana.
Ajax ya ufipa auAisee......mimi nilikuwa nachezea timu ya Lion uwanja wetu ulikuwa pale ilipojengwa hospitali ya mwananyamala baada ya kuitanua.
Pale chini palikuwa na timu ya Ajax ya akina Joseph Katuba na Mwangata.
Kitambo sana bwashee!
Hahaha mimi nlichezeaga timu ya nsembenze,maskani yetu ilikuwa muslim pale..nlichezeaga pia shayawenando mitaa yetu ya kujidai ilikuwa kuanzia mwananyamala kisiwan... kino msisiri hadi huku juu kwa mvungi... mpira tunachezea aidha biafra au kino shule pale bwawan karibu na mahakama.... tukicheza mechi tunacheza na watoto wa mitaa ya kino shamba au watoto wa kule shule ya kumbukumbu.. nakumbuka pale biafra kuna kanjia ka kutokea upande wa pili wa barabara inayokwenda shule ya kumbukumbuku na ada estate.. basi kuna jumba ilikuwa limetelekezwa tukazushiana wanakaaa majini.. lilikuwa bonge la nyumba sema halika mtu
Ok....kuna jamaa kule akina Fikirini, Furahisha nawakumbuka kidogo hasa mitaa ile ya Bangladesh!Hahaha mitaa yangu hiyo
Mzee songambele mzee wangu sana
Haipiti wiki bila kunigusa hewani!
Ila mimi kwangu ni nyuma ya mango,ila nlihama huko nmewachia ----wakae huko[emoji23]
Ila mitaa hiyo ya songambele wazee wengi hapo nlikuwa naelewana nao sana
Kina mzee kumwembe (rip) etc
Huko nkipitaga ni wanted[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Hii ilikuwa Komakoma pale jirani na kwa King Kikii wa OSS wakati ule!Ajax ya ufipa au
Ova
Hekima ilikuwa inawasha moto haswaa. Nyuma ilikuwa na picha ya Albert Nyirenda anasimika bendera ya Taifa kwenye killer Cha mlima Kilimanjaro.Hii Hekima siisahau
Iliwahi kupigwa ligi moja matata sana kutoka moro mpaka kibaha
Mimi nilikua ndani ya Mohamed Trans ya jioni inayotoja Dodona enzi hizo bado mpya siti zina nailoni bado
Mbele ilikua Sunry halafu Hekima kisha Mohamed Trans
Ilipogwa ligi sio ya nchi hii
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
F.mkwawa namjuaOk....kuna jamaa kule akina Fikirini, Furahisha nawakumbuka kidogo hasa mitaa ile ya Bangladesh!
Ile ligi mkuu acha kabisa mbele ilikua Sumry Nissan Diesel ikifuata Hekima halafu Mohamed TransHekima ilikuwa inawasha moto haswaa. Nyuma ilikuwa na picha ya Albert Nyirenda anasimika bendera ya Taifa kwenye killer Cha mlima Kilimanjaro.
Hekima kipindi Cha machafuko South Africa enzi za JK zilikodiwa kwenda kuwabeba watanzania walikuwa kule na kuwarudisha bongo.
Hahahaaaa..... Furahisha mshikaji wangu kuanzia bongo hadi Unyaluni kwa mchungaji Msigwa!F.mkwawa namjua
Kpande kile dah....
Mm kwangu kule garden
Ova
Teh teh vp bado anapiga tender za kusupply [emoji23]Hahahaaaa..... Furahisha mshikaji wangu kuanzia bongo hadi Unyaluni kwa mchungaji Msigwa!
Huu mwaka sijaonana naye huwa nakutana na kaka yake tu Hussein!Teh teh vp bado anapiga tender za kusupply [emoji23]
Ova
Hahahaaaa..... Kama ulimalizana nao ulifanya jambo jema bwashee!Hahaha kuna kisa nliwafanyiaga watoto wa huko kitambo sana
Nliwapa mpango nkawachangisha hela
Waliponipa tu nkasafiri nlipata nauli,wacha wanisake wakaja kusikia nko bara lingine[emoji23][emoji23] si lawama hizo+rb juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nliporudi nlimalizana nao
Ova
Hahaha mimi nlichezeaga timu ya nsembenze,maskani yetu ilikuwa muslim pale..nlichezeaga pia shayawena
Time zote za wahuni....
Hyo nyumba unayesema hapo biafra/block kushuka kama unakwenda ada kna mpemba alikuwa UK alidhulumiwa naskia mpk leo haikaliki
Ova