johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #241
Hahahaaaa...... Patrick Mwangata yule golokipa aliyesoma shule ya msingi Mwananyamala kisiwani?we jamaa mbona kama unataja watu wa home kinondoni biafra , mitaa ya itaga hadi kanisani... kwa kina ngozi, na tizo tolu... maana home ilikuwa mitaa ya kina patrick mwangata...
Bwashee hiyo mitaa naijua sana.