Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Kwa wale wa Pwani kuzisahau Champs za Dar Bwagamoyo ni kosa la uhaini
Pia kulikuwa na Mfamao bus .Siku hizo jiji lilikuwa zuri na salama kwenye kila kitongoji watu walikuwa wanajuana karibia woote mpaka vizazi vyao........hata dhulma na ughiriba kulikuwa hakuna,koz mtu ukitaka kumfanyia ubaya akitishia kuwa nitakwenda kumueleza baba yako unaogopa kuufanya
 
Duu huu Uzi wa Moto
Big up kwa Yohana mbatizaji na Mrangi,mtongwe,ze dudu na wengine wengiii mnaonekana wakongwe sana kwenye hustle wazeee
Mwendelee kutupa madini sie wakolomije ambao tulifika dar kwa maroli ya lifti au treni za kigoma
Leo tunajidai wajuaji jijini kumbe wakongwe mpo tu mnatuzooom
😂😂😂😂😂
 
Duu huu Uzi wa Moto
Big up kwa Yohana mbatizaji na Mrangi,mtongwe,ze dudu na wengine wengiii mnaonekana wakongwe sana kwenye hustle wazeee
Mwendelee kutupa madini sie wakolomije ambao tulifika dar kwa maroli ya lifti au treni za kigoma
Leo tunajidai wajuaji jijini kumbe wakongwe mpo tu mnatuzooom
😂😂😂😂😂
Hahahaaaa...... Steve Nyerere alikuja na lori la mkaa kutoka Morogoro akatunzwa na familia ya akina Ray Kigosi pale Sinza lakini leo na yeye ni mjanja wa mjini!
 
Komakoma ina historia bwashee.

Makongoro Nyerere katesa sana mitaa hiyo!
Sana na yule Joseph unajua pale vijana Joseph nyerere alikuwa na eneo kubwa
Sema makong na wajina wako wote walijaliwa kupiga mitungi,mm mwenyewe nasubiri
Joseph kwake ilikuwa jirani na kambangwa pale na mke wake mpaka leo yupo pale ila nyumba naona alipangisha,yule aliyekuwa mke wa Jose alikuwaga jumba jeupe mama mmoja mpaka leo tunawasiliana vzr tu mpaka kwenye vikao vyetu vya mambo yetu nakuwaga naye,mama zetu wale[emoji23][emoji23]

Ova
 
Hahahaaaa...... Steve Nyerere alikuja na lori la mkaa kutoka Morogoro akatunzwa na familia ya akina Ray Kigosi pale Sinza lakini leo na yeye ni mjanja wa mjini!
Huyu Steve kulikuwa na dalai mmja wa magari enzi hzo lumumba jamaa alikuwa kama chawa wake,mambo ya ukimbelembele hyo alianza tokea zamani

Ova
 
Hahahaaaa......jamaa ni bonge la chawa.

Alikuwa anaosha ile Chasser ya Ray wakati ule baadae akina Bishanga na JB ndio wakamuingiza sokoni.
Namjua vzr sana!na akinionaga ananiamkia
Mara ya mwisho nlimuona breakpoint kino kama kawaida kakaa na matajiri kutoka kinda ya ziwa,shuguli yake si unaijua
Mzee wa kuunganisha[emoji23][emoji23]

Ova
 
Dodoma -mbeya kuna basi lilikuwa linaitwa URAFIKI huyu mh simbachawene alikuwa kondakta wa hilo basi balaa lake sio poa nakumbuka lilituacha comfort tukapanda matema mabichi ngoma imefukuzwa tumeikuta mbeya imetulia [emoji1430]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simbachawene huyu waziri? Lol
 
Mara ya mwisho nilipanda basi la Tawaqal nikitokea mkoani Ruvuma lakini kwa sasa ni muda mrefu Tawaqal zimeachana na route hiyo.

Nauliza Wahenga wale wa "Watu wa safari" huyu nguli wa barabarani dereva Giriki yuko wapi siku hizi?

Kazi Iendelee

cc: Bujibuji
Umenikumbusha miaka ya juzi kati nilikuwa kikazi Iringa, sasa ikawa lazima nirudi haraka DSM kwa dharura - nikachukua kibegi chagu moja kwa moja pale barabara kuu kusubiri basi lolote lile maana muda ulikuwa saa nne nne hivi asubuhi..mabasi yote yanayotokea Iringa yashasepa.

Mara paaap Tawakari hiyoo...nikachoma ndani - ila wakaniambia siti hakuna nitakalia godoro pale jirani na dereva nikawaambia poa..

Aisee kitu kikaanza kupuliza mzee, zile kona kona zile nikicheki na speed meter nikajua leo hatufiki popote....nikawa nasali sara zote... wale jamaa wakasema oyaaa mbona unazingua ? kama vipi nenda siti no 60 afu yule mwenzako aje hapa nikakubali...

Tulivyofika Ubungo nikaapa kupanda tena... kitu kinavuta ni balaaa!! ukiwa na roho ndogo utaomba kushuka hata kama ni porini... sasa sijajua huenda dereva alikuwa huyo Giriki unayemzungumzia hapa.
 
Back
Top Bottom