Dada Vero mambo !!
Duuu veronica tena?Yupo kabadilika kidogo kwasasa anajiita Veronica france
Hata mimi nimeshagaaAmebadili na jinsia yake?
Habari Wana jamvi.
Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.
Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.
Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
Daah kapata ajali akielekea Buza au kwa Mpalange??
Alikuwa anaomba msamaha ama!!!
Mama Anna Mkapa bila shaka