Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Yuko wapi yule "Mwanaharakati Huru", Cyprian Musiba?

Habari Wana jamvi.

Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.

Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.

Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?

20210522_120455.jpg
 
Yupo kwake hana pakusemea... hana backup...
 
Nipo nae apa chalinze tunagonga nyagi. Yupo retreat kujipanga arudi na mbiu ya "mama anatosha, muniuwe kama hamumpi mingine 10"
 
yupo.. anadaiwa hela za watu

Chali Cha Mende

Mlalo Wa Chali Ndembendembe

Mpaka Sasa Hivi Anajuta Kujiingiza Kwenye Yasiyomuhusu

Ccm Mpya, Wale Ng'ombe Waliokatika Mikia Machungani

Mzilankende Alisema Wakirudi Zizini Wenzao Watajua Hawana Mkia

Musiba ameonekana, akidondosha machozi huko ya kinafiki!
Aah karma is a bitch! For real
 
Habari Wana jamvi.

Ni muda sasa umepita, sijamsikia jamaa huyu anayejiita mwanaharakati, ndugu Cyprian Musiba. Mara ya mwisho nilimsikia kama sikosei miezi minne iliyopita.

Yawezekana, wasiojulikana wametokomea naye au harakati zake zilikuwa za mtu mmoja na sio masuala yanayogusa jamii.

Yuko wapi mbona, kimya kimezidi?
 
Yu wapi mwanaharakati uchwara?
Baada ya msiba wa mwendazake Musiba alianzisha msiba Mwingine!
😁😁😁😁🔥
 
Yule pimbi nimemuona majuzi ktk clip fulani anahojiwa na mwandishi anajifanya kulia!
Mh. Membe na Bi. Karume tunawaomba nendeni mkakazie zile hukumu kama hajawalipa zile Bilioni zenu ili mfunge kabisa huyu pimbi.
 
Back
Top Bottom