ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ile kofia na raba
Mimi nahisi huwa anafanya makusudi ili tumjadili, sasa uvaaji gani ule
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu umenichekesha sana ile kofia na raba
Hakuna maneno Mkuu, hata mimi sijayasikia.Mimi hayo maneno kila nikiangalia video mbona siyasikii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kinyume nyumeyule ni mkewe na pale walikua wanataniana
Rais wetu ni mtu social sana,tuonesheni video ya tundu lissu akilewa anavyomkandika migumi mkewe mpaka majirani wanakuja kuamulia
........we jamaa bhana.....yule ni mkewe na pale walikua wanataniana
Rais wetu ni mtu social sana,tuonesheni video ya tundu lissu akilewa anavyomkandika migumi mkewe mpaka majirani wanakuja kuamulia
nimefanyaje mkuu........we jamaa bhana.....
Fact! Magufuli ana majukumu matatu tofauti kabisa na ni lazima awe na uhusika kwenye kila eneo, Yeye ni Rais, yeye ni mume na yeye ni baba. Pale home alikuwa ni mume na pia ni baba, anakuwa na utani na michezo pia.Watu bwana yani wanazani rais akiwa nyumbani na familia basi anakua analeta urais hadi home ha ha ha ha haiko hivyo wakuu sometime unaweza kukuta kapiga pensi anacheza na wajukuu kama watu wengine
Aliyeongea sio mama Janeth,Achana na watumishi waliokuw nyuma,yule aliyekaa meezani ni mama janeth na ndio alikuw anaongea!
Ni kawaida familia ya kiafrika wanapokuwa wanakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu alikutangazia "mimi sijaribiwi...." kwanza utaanzia wapi?? Au hujipendiHivi Rais unafikiri hataniwi?
Ana maisha pia nje ya kazi
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu alikutangazia "mimi sijaribiwi...." kwanza utaanzia wapi?? Au hujipendi