Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

Yule aliyemjibu rais Magufuli kwenye ile video ya jana ni nani?

yule ni mkewe na pale walikua wanataniana
Rais wetu ni mtu social sana,tuonesheni video ya tundu lissu akilewa anavyomkandika migumi mkewe mpaka majirani wanakuja kuamulia
........we jamaa bhana.....
 
Watu bwana yani wanazani rais akiwa nyumbani na familia basi anakua analeta urais hadi home ha ha ha ha haiko hivyo wakuu sometime unaweza kukuta kapiga pensi anacheza na wajukuu kama watu wengine
Fact! Magufuli ana majukumu matatu tofauti kabisa na ni lazima awe na uhusika kwenye kila eneo, Yeye ni Rais, yeye ni mume na yeye ni baba. Pale home alikuwa ni mume na pia ni baba, anakuwa na utani na michezo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom