Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza..
Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na yeye ndiyo anapiga simu. Hawa ni vivuruge wanaoudhi sana.
Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na yeye ndiyo anapiga simu. Hawa ni vivuruge wanaoudhi sana.