Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Duuuh wewe ndio mke wangu au?Wewe ni mchafu mchafu hupendi kuoga alitakiwa kukupa utajiri wakutoga mara moja kwa mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh wewe ndio mke wangu au?Wewe ni mchafu mchafu hupendi kuoga alitakiwa kukupa utajiri wakutoga mara moja kwa mwaka
Wewe zalisha wanawake pata watoto Ila sharti kuu usioe na usiishi na Mwanamke kinyumba ukishamtia mimba akishazaa tu mtimue akatafute mwanaume mwingine wa kuendeleza ulipoishia na usirudiane naeUongo Bibi ajafariki bro
Nimetoka kwake Leo sharti langu kubwa ni kutokula pesa yangu na ndg
Karibu sana
Mi mtabari wakoDuuuh wewe ndio mke wangu au?
Noma sana!Wewe zalisha wanawake pata watoto Ila sharti kuu usioe na usiishi na Mwanamke kinyumba ukishamtia mimba akishazaa tu mtimue akatafute mwanaume mwingine wa kuendeleza ulipoishia na usirudiane nae
Na ndomana anazidi kuwa bilionea siku hizi... Jezi zote anatengeneza yeye, hapana Chezea Uganga wewe! 😂Vipi mkuu wewe hujawahi kuonana naye ili shughuli zako za Kariakoo ziende kama ulivyopanga?.
Loh, stakiAsingekupa hilo hauchagui wewe yeye ndio anachagua na anakupa gumu ambalo anajua tu lazima uvunje, wewe angekupa la kunya machakani huko hakuna kunya chooni hata choo cha stand marufuku ukibanwa na tumbo la kuhara tafuta Chaka ujimalize ole wako uingie chooni 🤪
Tungekuja kukusumbua hadi uvunje masharti.Mie ningeweza hiyo ya mwanzo kabisa namba Moja😂
Hilo gumu sanaaa,AISEE MASHARTI MAZURI SANA HAYO.
NINGEMJUA MAPEMA SASA HIVI NINGEKUWA NA MABASI YANGU YA MIKOANI NA NIINGEYAITAA
NSHOMILE TRAVEL CO.LTD
DAR-BUK, DAR-KAMPALA,DAR-KIGALI, DAR-LUSAKA,DAR-HARARE, DAR-GABORONE
NAJUA HAPO HILO SHARTI LA KUTOMSALIMIA MTU KWA MKONO NI JEPESI NINGELIWEZA TU.
MBINGU NA PEPO NI HAPAHAPA DUNIANI
Nifilisike?Tungekuja kukusumbua hadi uvunje masharti.
Wakati huo sisi hatuna habari na masharti yako, utashtukia umeingia majaribuni😅Nifilisike?
Hilo la kugonga mwanamke mmoja tu Lina shida gani?Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.
Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji. Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka utajuta.
No kumwaga damu.
Utachaguliwa sharti moja, either
N.k, n.k
- Ugonge mwanamke mmoja tu.
- Usilale kwenye nyumba yenye umeme
- Usinunue gari ya kutembelea, jaza milori, tax n.k ila hakuna Kununua gari ya kutembelea.
- Usivae viatu vya kufunika
- Usivae suruali ndefu.
- Hakuna kumsalimia mtu kwa mkono.
- Usimwamkie mzazi au mtu yeyote.
- Unye kichakani tu.
Mangi mmoja alikwenda, sharti la Kwanza kabisa akakosea.
Akapewa la pili akawin ndani ya mwaka mmoja kavunja.
Sasa hivi kawa bodaboda kutoka kuwa star mjini mwenge yote alijulikana. Akina Wema, Wolper, and so kawapitia sana.
Aliaambiwa afanye sex na mwanamke mmoja tu. Mipesa ilivyozidi akaona isiwe shida akaanza kutumia na watoto wazuri
Ndo utajiri basi.Siku ukilazwa hosp kwa kuhara sijui inakuwaje hapo
Kwanini hamkututangazia mapema na sisi Sasa hivi tungekuwa mapedeshee wa mjini,mnaroho mbaya sana mnapenda tuwe masikini sisi muendelee kufurahiNi siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia.