Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Muhimu aisaidie timu tuHamna kitu pale. Kwa mbaaali anaweza kuwa na kipaji ila hana nidhamu na ana hasira za haraka. Niliona clip anaongea na kiongozi wa Yanga, nikasikia mashabiki wanamwambia amchukue huyo Sowah. Mchukueni mtajuta.
Katika washambuliaji wote wa Simba nitajie anayeweza walau kumfikia Sowah.Hamna kitu pale. Kwa mbaaali anaweza kuwa na kipaji ila hana nidhamu na ana hasira za haraka. Niliona clip anaongea na kiongozi wa Yanga, nikasikia mashabiki wanamwambia amchukue huyo Sowah. Mchukueni mtajuta.
Baleke ni bora kuliko huyo na mmeshindwa kumtumia. Akicheza na ma waamuzi wanaojitambua atakula sana kadi.Muhimu aisaidie timu tu
Yanga watafocus na stregth zake basi
Kama mnampenda sana mngemchukua kipindi kile baada ya kumrubuni mlipocheza na Medeama. Tena bado mmemuacha aje kwa shoga enu badala ya kwenu. Ni wazi mnaona kuna kitu anamiss.Katika washambuliaji wote wa Simba nitajie anayeweza walau kumfikia Sowah.
Haya jibu swali uliloulizwa sasaKama mnampenda sana mngemchukua kipindi kile baada ya kumrubuni mlipocheza na Medeama. Tena bado mmemuacha aje kwa shoga enu badala ya kwenu. Ni wazi mnaona kuna kitu anamiss.
Inachekesha unamsifia hivi huyo Sowah ila katika mechi na Yanga alianzia benchi akaja kuingia dakika za mwisho. Hamjuaji jinsi mnavyojisnitch.Haya jibu swali uliloulizwa sasa
Swali ni hili hapaInachekesha unamsifia hivi huyo Sowah ila katika mechi na Yanga alianzia benchi akaja kuingia dakika za mwisho. Hamjuaji jinsi mnavyojisnitch.
Hakuna mtu pale kakosa clear chance 4Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu
Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
Swali ni hili hapaSwali ni hili hapa
Katika washambuliaji wote wa Simba nitajie anayeweza walau kumfikia Sowah.
Wewe kolo kweli. Kwahiyo Chama akianzia bench ina maana hana kiwango chochote cha maana?Swali ni hili hapa
Kama ana viwango hivyo unavyotaka kutuaminisha, inakuwaje aanze benchi katika mechi muhimu na ngumu dhidi ya Yanga na aje kuingizwa dakika za majeruhi?
Hakuna aliyesema mchezaji akianzia benchi anakuwa hana kiwango cha maana.Wewe kolo kweli. Kwahiyo Chama akianzia bench ina maana hana kiwango chochote cha maana?
Sasa mbona unauliza maswali ya kipuuzi. Katika mechi muhimu Yanga dhidi ya Simba Chama alianzia benchi. Katika mechi muhimu Yanga dhidi ya Singida Pacome alianzia bench. Wote hao walipoingia katika hizo mechi waliimpact positively.Hakuna aliyesema mchezaji akianzia benchi anakuwa hana kiwango cha maana.
Kweli nyani haoni kundule. Yaani unaniuliza eti nani pale Simba anamfikia Jonathan Sowah halafu eti unaniambia mimi ndiyo nauliza maswali ya kipuuzi. Daah....Sasa mbona unauliza maswali ya kipuuzi. Katika mechi muhimu Yanga dhidi ya Simba Chama alianzia benchi. Katika mechi muhimu Yanga dhidi ya Singida Pacome alianzia bench. Wote hao walipoingia katika hizo mechi waliimpact positively.