Yule Jonathan Sowah ni zaidi ya Fiston Mayele

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu

Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
 
Hamna kitu pale. Kwa mbaaali anaweza kuwa na kipaji ila hana nidhamu na ana hasira za haraka. Niliona clip anaongea na kiongozi wa Yanga, nikasikia mashabiki wanamwambia amchukue huyo Sowah. Mchukueni mtajuta.
 
Muhimu aisaidie timu tu

Yanga watafocus na stregth zake basi
 
Katika washambuliaji wote wa Simba nitajie anayeweza walau kumfikia Sowah.
Kama mnampenda sana mngemchukua kipindi kile baada ya kumrubuni mlipocheza na Medeama. Tena bado mmemuacha aje kwa shoga enu badala ya kwenu. Ni wazi mnaona kuna kitu anamiss.
 
Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana, mkatili mno kwenye nyavu

Hawa ndio washambuliaji wanaohitajika Simba
Hakuna mtu pale kakosa clear chance 4
 
Swali ni hili hapa

Katika washambuliaji wote wa Simba nitajie anayeweza walau kumfikia Sowah.
Swali ni hili hapa

Kama ana viwango hivyo unavyotaka kutuaminisha, inakuwaje aanze benchi katika mechi muhimu na ngumu dhidi ya Yanga na aje kuingizwa dakika za majeruhi?
 
Wewe kolo kweli. Kwahiyo Chama akianzia bench ina maana hana kiwango chochote cha maana?
 
Hakuna aliyesema mchezaji akianzia benchi anakuwa hana kiwango cha maana.
Sasa mbona unauliza maswali ya kipuuzi. Katika mechi muhimu Yanga dhidi ya Simba Chama alianzia benchi. Katika mechi muhimu Yanga dhidi ya Singida Pacome alianzia bench. Wote hao walipoingia katika hizo mechi waliimpact positively.
 
Kweli nyani haoni kundule. Yaani unaniuliza eti nani pale Simba anamfikia Jonathan Sowah halafu eti unaniambia mimi ndiyo nauliza maswali ya kipuuzi. Daah....
 
Back
Top Bottom