Sasa kwanini ununue scam crypto wakati zipo mamia ya legit crypto?!scam crypto ni zaidi tuma kwenye namba hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini ununue scam crypto wakati zipo mamia ya legit crypto?!scam crypto ni zaidi tuma kwenye namba hii.
Umebadili ID?Vijana kuna fursa kubwa katika cryptocurrency na kama hujui chochote chukua fursa zilizopo kujifunza ili uone kama itakufaa ama la. Duniani ni kwenda na trend tu. Ukiweka juhudi za kutosha jumlisha na bahati kidogo inawezekana hii ndio ikawa fursa yako ya kutoka.
Jifunze kuchambua watu wa kuwapa elimu/mwanga. Sio kila mtu anafaa kupewa mwanga, wengine ni sawa na kupigia mbuzi gitaa. Mtu anaye attack mtu individual badala ya fact achana nae mkimbie maana ni mpuuzi mno. Kwenye Dunia ya Leo full of information kila mtu abaki na anachokiamini. Anayeamini kilimo kinalipa, let it be. Anayeamini currency and stock trading zinalipa let it be. Mjinga mmoja haamini kama Kuna watu wanatengeneza pesa wakiwa wamekaa City pub au KFC au Pizza Hut achana nae. Anakaza forex ni kamali, sa akielezwa ya drop shipping ataelewa Nini! Au money movers kama Stock brokers Wana mashamba??chizcom,
Nimekusoma mwanzo hadi mwisho na nimejiridhisha wala huna uelewa wa kutosha kwenye hii mada. Ngoja nikupe mawili matatu. Kwanza ni kweli watu aina ya Ontario walikuwa wanamwaga darasa kwa sababu kuu 2. Sababu ya kwanza wapate watu watakaojiunga na classes zao, na sababu ya pili hao watu wawaunganishe kwa brokers ili hatimae wapate kamisheni!! Na mara nyingi kama sio zote, hawa brokers wanakuwa brokers uchwara ambao hawajaji-establish.
Tukija kwenye crypto, kwanza ni mjinga tu ndie atalipa kusoma crypto class! Forex ina mambo mengi ya kujifunza kulinganisha na crypto. Kikubwa unachotakiwa kufahamu kwenye crypto ni legit exchange markets na jinsi ya ku-point hizi crypto. Na kama ni mgeni kwenye game, kikubwa unaweza tu uka-focus kwenye well established crypto ambazo hazipo kwenye risk ya kutoweka ingawaje kwa wenye mitaji midogo crypto kama hizi zitaishia kukupa hela ya kula tu, lakini kama unahitaji kutusua basi unatakiwa kulenga new crypto ambazo ni very risk kwa sababu, kimsingi crypto haina tofauti na biashara zingine tunazofanya kila leo!! Kama ambavyo watu 100 wanaweza kuanzisha biashara mpya na kwa mara ya kwanza leo, lakini baada ya mwaka 1, huku ni 10 tu kati yao ndio wali-survive, na 90 wote walikata mtaji. Hivyo ndivyo huwa kwa new cryptos. Nyingi huwa zinaingia sokoni lakini ni chache ndizo zina-survive! Sasa kama huku-point sawasawa, unaweza kujikuta vidola vyako 200 uli-invest kwenye new crypto ambayo inakuja kupotea baada ya muda!
It's business. Lakini $200 hiyo hiyo kama uli-invest muda muafaka, na crypto husika ika-survive, amini usiamini pesa ambayo unaweza kuingiza unaweza hata kuona aibu kuichukua. Ngoja nikupe mfanmo wa Shiba Inu
View attachment 2095289
Unaona hapo juu, August 13, 2020 coin moja ilikuwa inauzwa $0.000000000157. Sasa jiulize kwabei ndogo kama hiyo, na kama ungewekeza $200 ungepata coins ngapi? Kwa hesabu za haraka haraka, ungepata at least coins 1 Trillion. Baada ya Shib kwenda kwa slow motion kwa miezi kadhaa baadae baadae bei ya Shib ikapanda kwa kasi ya roket, ndo hapo nilipoweka box. Siku hizi bei ya Shib imeporomoka (hii ndo tabia kuu ya crypto) lakini pamoja na kuporomoka huko, bei yake kwa sasa ni $0.0000212. Sasa piga hesabu mwenyewe. Assume ndo uliwekeza zile $200, ukapata coins Trilioni 1, na leo ndo unaamua kuuza kwa $0.0000212 kwa coin. Hivi ulishajiuliza ungechukua dola ngapi hapo?! Hivi usingeona aibu kuchukua pesa yote hiyo wakati uliwekeza $200?
NInachokueleza hapo ni kwamba, Crypto sio utapeli. Utatapeliwa endapo umeingia kichwa kichwa bila kupata right information kutoka kwa right people. Tatizo lingine ndo hilo la ku-point, na upoint wakati gani. Kwa mfano, hivi sasa Shib bei yake ndo hiyo $0.0000212. Ukiona hayo mazero zero unaweza kujipa matumaini kwamba ni very cheap! In a long run, unaweza kuita ni cheap, lakini in a short run, tayari hapo bei yake imeshangamka!
Kwahiyo utake usitake, dunia ndo inaenda huko hivi sasa. Badala ya kujitisha na kuwatisha wenzako, chukua muda ujifunze! Huna haja ya kumlipa mtu kujifunza crypto. Lakini kama unaona kuwekeza pesa hapana, basi pitia hii post hii hapa. Hapo nimeelezea crypto inayoitwa Pi ( π) Coin. Hii haijaingia sokoni, kwahiyo hulipii hata senti 5 isipokuwa through mining. Of course, ingawaje Developer wa hii coin hawajaweka wazi lakini technique wanayotumia ndo kama hiyo uliyoita pyramid scheme. Hata hivyo, huyo haiwezi kuwa pyramid scheme kama unavyoweza kudhani. Kwanza, Founders wa hiyo project ni United States Citizens ,a ni graduates wa Stanford na ni PhD Holders. There's no way wanaweza kuanzisha pyramid scheme wakati pyramid scheme ni illegal ndani ya US. Na taarifa za hao founders zipo public, na kwahiyo kama wangelenga kuanzisha pyramid schemes, basi wasingeweka taarifa zao public. Hata hivyo, wanatumia hiyo model ambayo kwa haraka haraka unaweza kuamini ni pyramid scheme kwa sababu nguvu ya kwanza ya crypto coin yoyote ni kuwa na users wengi. Ikishakuwa na users wengi, itasajiliwa kirahisi tu kwenye legit exchange markets. Na pili, users wengi ni tafsiri ya kuwa na holders wengi waliosambaa sehemu mbalimbali duniani. Kuna biashara nyingi tu siku hizi zinapokea crypto kama medium of exchange. Sasa crypto inapokuwa na users wengi, inakuwa pia rahisi kutumuka na baadhi ya merchants kama medium of exchange. Kadri coin husika inavyozidi kukubalika, ndivyo bei yake inavyozidi kupanda kwa sababu demand inaongezeka!
Kutokana na hilo, unakosea sana unaposema "wanataka wafuasi wa ku-boost coin yao" huku ukiamini ni coin ya developers. Ingia twitter na utakuta coins nyingi zina akaunti kama hizi hapa chini
View attachment 2095322
Unaona hizo ni Army Accounts ambazo members/coin holders wanazianzisha wenyewe bila kutumwa na yeyote ili kui-promote coin. Wakati wewe unaamini ni "coin yao" kwa maana ya coins za developers, hawa armies wanaamini ni "coin yetu" kwa sababu bei ikitusua, na wenyewe wanatusua.
Chifu, usikubali kujifungia kwenye box la mbao, jifunze!! Hayo uliyoandika hapo juu ni kituko ambacho kinaonesha moja kwa moja hii industry bado kabisa huifahamu! Na pia ushauri wangu ni ule ule, kama hutaki kutumia pesa, bofya hapa kwa ajili ya uzi utakaokuwezesha kupata coins bila kulipa hata senti 5!
Naogopa post itakuwa ndefu lakini ningeonesha jinsi ambavyo nilipata zaidi ya Dogelon zaidi ya 100M bila kulipa hata senti 5. Of course, kama ilivyokwa crypto zingine, hivi sasa bei yake imeshuka sana lakini nikisema niziuze leo, sikosi $100 lakini nikivumilia na kuziacha zikae tu, usishangae baada ya muda zikafikia hata $10K
Upo sahihi kabisa! Ni bahati mbaya sana hadi 2022 watu wanatumia smartphone kama chombo cha mawisiliano tu na cha kuingilia kwenye social network bila kujua wanatembea Digital Universities mifukoni mwao!!!Jifunze kuchambua watu wa kuwapa elimu/mwanga. Sio kila mtu anafaa kupewa mwanga, wengine ni sawa na kupigia mbuzi gitaa. Mtu anaye attack mtu individual badala ya fact achana nae mkimbie maana ni mpuuzi mno. Kwenye Dunia ya Leo full of information kila mtu abaki na anachokiamini. Anayeamini kilimo kinalipa, let it be. Anayeamini currency and stock trading zinalipa let it be. Mjinga mmoja haamini kama Kuna watu wanatengeneza pesa wakiwa wamekaa City pub au KFC au Pizza Hut achana nae. Anakaza forex ni kamali, sa akielezwa ya drop shipping ataelewa Nini! Au money movers kama Stock brokers Wana mashamba??
Tumieni smartphone zenu kujielimisha nyie watoto.
Kwan kuishi kwa forex sio kula kwa jasho?Ukiona unaitwa kwenye fursa na nguvu kubwa sana inatumika ujue kabisa wewe ndio fursa
WAJINGA NDIO WALIWAO, na ukienda kichwa kichwa wanakubamiza kweli
Mungu ameagiza tule kwa jasho nyie mmebadilisha mnakula kwa M B za mtandaoni, mnadownload pesa tu shchwaaaaaaa
FURSA YENYEWE NDIO HIYO UKIWAULIZA IMEPATA VIBALI HAPA TANZANIA NA KUSAJILIWA WANAKUWA MKALI MTAGOMBANA SIKU NZIMA
Ukipigwa au kutapeliwa kule ndio imekula kwako kwa kuwa huna sehemu ya kuwashtaki na uthibitisho rasmi sanasana utaishia kupoteza hela kufatilia kesi za hawa SCAMMERS
Najua mtakuja kunisema sijui chochote kuhusu haya mambo ya kuvuna coin, mara sijui wallet ila ndio hivyo mwenzako akinyolewa zako tia maji
Aisee, machawa wa blockchain na crypto msije kunivamia hapa ni mtazamo tu😎
[emoji38]
Mkuu umeelewa vibaya au aliekuelewesha kakuelewesha vibaya , forex sio utapel Ila ni taaluma . Kwahiyo wengi wanadhani kupata pesa kwenye forex ni lahisi kwahiyo ndio hapo inakuja kuonekana Kama utapelForex crypto vyote ni utapeli tu bora nikaajiriwe kwa muhindi nilipww buku saba zangu, hakika nakuapia hutoboi ng'ooo,
Na huko anawalipisha? Anatumia user name ipi?
Forex ni kuchelewa kupata maisha tu, utakuta kijana wa miaka 25-30 anakomaa na forex tangu amalize shule lakini maisha yake ni apeche alolo.Mkuu watakuja kama mwewe..
Kuna rafiki yangu kila siku namtoa beer ajabu hiyo forex na coin anazicheza kabla mimi sijapata job.
Lakini wapi daily yupo msoto
Hawa vijana huwa wanaimani kubwa sana, wajinga kabisa.Haya mambo ya kusema kuna siku itakuwa hivi au vile ni bora ununuwe shamba lako walau heka 5, upande mitiki baada ya miaka 10 mpaka 15 una uhakika wa kuwa tajiri kuliko hizo mambo zenu ambazo hakuna hata mtu mmoja wa kunionesha sample kwamba huyu haya ni mafanikio ya crypto currency, hakuna.
Huyu ni tapeli first class, yani hapo kaweka ulimbo kutamanisha vijana maisha hayo.Ontario bana..
Vijana wanatoka chuo na matamanio ya maisha ambayo hayawezi kupatikana kirahisi wanaingia kingi wanapewa za uso.Huyu ni tapeli first class, yani hapo kaweka ulimbo kutamanisha vijana maisha hayo.
Hapa chawa Pro max wa forex na crypto hawakuelewi yaani nakwambia🤣Mkuu watakuja kama mwewe..
Kuna rafiki yangu kila siku namtoa beer ajabu hiyo forex na coin anazicheza kabla mimi sijapata job.
Lakini wapi daily yupo msoto
whatever it takes..... forex wapigaji na wapigwaji wengiKwan kuishi kwa forex sio kula kwa jasho?
Mpaka umeandika gazeti leo,kweli umechafukwa....pole yao ngoja wamtajirishe mkulima tajiri,yajayo yawafurahishe...Ukiona unaitwa kwenye fursa na nguvu kubwa sana inatumika ujue kabisa wewe ndio fursa
WAJINGA NDIO WALIWAO, na ukienda kichwa kichwa wanakubamiza kweli
Mungu ameagiza tule kwa jasho nyie mmebadilisha mnakula kwa M B za mtandaoni, mnadownload pesa tu shchwaaaaaaa
FURSA YENYEWE NDIO HIYO UKIWAULIZA IMEPATA VIBALI HAPA TANZANIA NA KUSAJILIWA WANAKUWA MKALI MTAGOMBANA SIKU NZIMA
Ukipigwa au kutapeliwa kule ndio imekula kwako kwa kuwa huna sehemu ya kuwashtaki na uthibitisho rasmi sanasana utaishia kupoteza hela kufatilia kesi za hawa SCAMMERS
Najua mtakuja kunisema sijui chochote kuhusu haya mambo ya kuvuna coin, mara sijui wallet ila ndio hivyo mwenzako akinyolewa zako tia maji
Aisee, machawa wa blockchain na crypto msije kunivamia hapa ni mtazamo tu😎
😆