Yule Mlimbwende wetu, CCM imemchosha hatamaniki. Kwani wanawafanya nini?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Nakumbuka enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.

Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?

Tukiwambia watetee watu wanaokufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
1f4e02caabc84499a024a28333ba8578.jpg

Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa
 
zamaniulikua hunambii kitu kwa jokate asee yule mtoto alikia mtamu balaa, miaka mbele jokate anamashavu, ana rtumbo kitambi, ngozi imemshuka kidoti hakionekani sababu ya mashavu mguu umekua mkubwa sana ukilingana na mwili wa juu umbo la kichokozi limepoyea ogopa sana mali za umma zinazo liliwa na wananchi muangalie hata paul makonda eti nae amekua mzee kimasihara sana inasikitisha sana
 
Jokate nimeanza msikia nipo sijui sekondari uko. Tumlinganishe na wanaume waliokuwa gumzo enzi zake si ni hawa kina Ali Kiba na yule mcheza kikapu. Sasa si ni wote umri unasogea na ukizingatia ni mwanamke basi ana speed ya kukua.

Au tuwatafute kina DJ Fetty walewale tulikuwa tunawaweka kwenye visimu vyetu vya OperaMin kama wallpaper. Wapo vilevile?
 
Umri hausimami mkuu, hata wewe chukua picha zako za 2020 ulinganishe na sura yako sasa hivi, mabadiliko ni makubwa na utajishangaa.

Umri hausumani, kama Makonda alizaliwa '82 means yupo around 43, sio mtoto tena.
 
Nakumbuke enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.

Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?

Tukiwamabia watetee watu wanakufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
View attachment 3492505
Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa hapa.
Wote hawa, ni wajasiliamali wewe huoni walivyokaa?

Ndani ya CCM yote wakati huu ni watu wasaka fursa tu; hakuna yeyote anayewaza maslahi ya waTanzania. Hadi nusu mizoga kama akina Wasira, bado wamo, wakidhani pesa wanayopewa kuinajisi nchi hii watazikwa kaburini nayo!

Ukiondoa marupurupu mengi na rushwa chungu nzima wanazopewa hawa watu, ndani ya CCM hubaki na mtu huko wakati huu.
 
Huyo mshangazi kwasasa ,
cheo cha ulimbwende alikua nacho mwaka 96-98
 
Jokate nimeanza msikia nipo sijui sekondari uko. Tumlinganishe na wanaume waliokuwa gumzo enzi zake si ni hawa kina Ali Kiba na yule mcheza kikapu. Sasa si ni wote umri unasogea na ukizingatia ni mwanamke basi ana speed ya kukua.

Au tuwatafute kina DJ Fetty walewale tulikuwa tunawaweka kwenye visimu vyetu vya OperaMin kama wallpaper. Wapo vilevile?
mbonaflaviana matata hazeeki?
 
Nakumbuke enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.

Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?

Tukiwamabia watetee watu wanakufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
View attachment 3492505
Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa hapa.
Mimi nimeliangalia hilo futuza hapo pembeni yake😂
downloadfile.jpg
 
Umri hausimami mkuu, hata wewe chukua picha zako za 2020 ulinganishe na sura yako sasa hivi, mabadiliko ni makubwa na utajishangaa.

Umri hausumani, kama Makonda alizaliwa '82 means yupo around 43, sio mtoto tena.
Yeah,jibu zuri
 
Kabla hujamsimanga Jokate mtazame dada yako mwenye miaka 39 akiwa na watoto wawili kisha utupe mrejesho. Umri hausimami. Jokate ana krismas moja tu kabla ya kuingia miaka 40. Pia ana watoto wawili. Je, ulidhani angeendelea kuwa mlimbwende kama alivyokuwa? Acheni siasa za kipumbavu.
 
Back
Top Bottom