figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
- #41
Balaazamaniulikua hunambii kitu kwa jokate asee yule mtoto alikia mtamu balaa, miaka mbele jokate anamashavu, ana rtumbo kitambi, ngozi imemshuka kidoti hakionekani sababu ya mashavu mguu umekua mkubwa sana ukilingana na mwili wa juu umbo la kichokozi limepoyea ogopa sana mali za umma zinazo liliwa na wananchi muangalie hata paul makonda eti nae amekua mzee kimasihara sana inasikitisha sana