Yule Mlimbwende wetu, CCM imemchosha hatamaniki. Kwani wanawafanya nini?

Yule Mlimbwende wetu, CCM imemchosha hatamaniki. Kwani wanawafanya nini?

siwezi weka picha ya mtu bila idhini na humu tunaishi kwa machale umri wako upoje kwa hili wazo lako, zari ana umri gani? mbona muonekano wake upo vizuri, ucpende kutetea ovyo utaaibika
Sasa tutaamini vip kama hutaki kuweka picha ni bora kunyamaza kuliko kukebehi mtu ambae muonekano wake pengine uko vizuri kuliko wasichana wengi
 
we ni mgeni hapa mjini, umemjua jokate lini, mtu ambaye alikua anashinda club na wakina mond kula bata tena msanii wa mziki we unauliza mambo ya surgery kwazari tu zile safari za jokate miaka hiyo unazichukuliaje? kipindi hawa wana hit gigy money alikua hajajuahata kuoga zari mwenyewe hakuwa maarufu, mobeto watu hawamjui we unasema nini huyo dem .muome hivohivo hao ndo walikua wajanja miaka hiyo ni juzi tu huyu akiwadc alikua anamuwinda fredy vunja bei unajua nini wewe unatetea nini sasa unamaana si hatumjui au
Hebu kunywa maziwa utoe sumu kali uliyonayo mwilini, ni hiyo hiyo picha au una mengine personal na Jojo maana sio kwa kujimaliza huko🤣🤣🤣
 
Kila jambo duniani lina wakati wake.

Nyakati zinapita, umri hauwezi kusonga nawe ukabaki na muonekano ule ule, fikra zile zile.

Kwa sasa yupo katika majira ya uongozi na mama mtoto/watoto.

Umri alionao kwasasa si wa kupambania muonekano, ni umri wa kupambania future yake na watoto wake.
 
Weka picha basi tuhakikishe sasa hivi kama wakisimama na jokate anaweza kufikia hata nusu ya muonekano jokate alionao.
Wanawake wanaoweza kumaintain m muonekano huo wa jokate kwa umri wa miaka 38 na kuendelea ni wakuhesabika tanzania hii .
Wapo wengi sana kwa 38 ni kama mabinti wa 28 - 32, unless hutembei.
 
siwezi weka picha ya mtu bila idhini na humu tunaishi kwa machale umri wako upoje kwa hili wazo lako, zari ana umri gani? mbona muonekano wake upo vizuri, ucpende kutetea ovyo utaaibika
Achana nae huyo, Zali kamuacha mbali Jokate. Na sio Zali tu mifano iko mingi ila sio vyema kuitolea humu. Hata Wolper, Uwoya still wana muonekano safi nao wamezaa pia.
 
Ummy kachoka ? In comparison to in Tanzania (Wabangaizaji wanaokula milo miwili kwa siku tatu)?!!!

Au ndio hii ni the POT calling the KETTLE Black.....;

NB: Uongozi na wajibu ni mgumu sana (angalia Obama alichukua Urais mwezi tu kichwa kimejaa Mvi) ; Sababu ya hii Notion kwamba uongozi ni neema (kupata Kula) ndio maana sisi Maboss tunawanyenyekea Watumishi wetu na wakiiba hatuwakemei sababu tunaona ni sawa kwao kunawiri (they are better than US)
 
mbona humzungumzii hamisaa mobeto si walikua rika sqwa
Hamisa kazaliwa 1990 na Jokate kazaliwa 1987.

Mobeto kula yake inategemea mwili wake, yuko radhi atumie masaa manne kwa siku kufanya mazoezi.

Wewe utakuta umezeeka kuliko wanamitindo wa kiume wa umri wako.
 
Sasa tutaamini vip kama hutaki kuweka picha ni bora kunyamaza kuliko kukebehi mtu ambae muonekano wake pengine uko vizuri kuliko wasichana wengi
huna picha ya lady jay dee, si ni mfano naye nimemtolea au
 
Hebu kunywa maziwa utoe sumu kali uliyonayo mwilini, ni hiyo hiyo picha au una mengine personal na Jojo maana sio kwa kujimaliza huko🤣🤣🤣
nakuelewesha mkuu mambo ya surgery umeyajua leo umenishangaza sana
 
Nakumbuke enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.

Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?

Tukiwamabia watetee watu wanakufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
View attachment 3492505
Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa hapa.

Kila jambo duniani lina wakati wake.

Nyakati zinapita, umri hauwezi kusonga nawe ukabaki na muonekano ule ule, fikra zile zile.

Kwa sasa yupo katika majira ya uongozi na mama mtoto/watoto.

Umri alionao kwasasa si wa kupambania muonekano, ni umri wa kupambania future yake na watoto wake.
Future alishaipata
 
Back
Top Bottom