figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mtoto au watotoNilisikia ana mtoto au ni maneno tu ya wana dar es salaam?
Wa kike au kiume?Nilisikia ana mtoto au ni maneno tu ya wana dar es salaam?
Umri hausimami mkuu, hata wewe chukua picha zako za 2020 ulinganishe na sura yako sasa hivi, mabadiliko ni makubwa na utajishangaa.zamaniulikua hunambii kitu kwa jokate asee yule mtoto alikia mtamu balaa, miaka mbele jokate anamashavu, ana rtumbo kitambi, ngozi imemshuka kidoti hakionekani sababu ya mashavu mguu umekua mkubwa sana ukilingana na mwili wa juu umbo la kichokozi limepoyea ogopa sana mali za umma zinazo liliwa na wananchi muangalie hata paul makonda eti nae amekua mzee kimasihara sana inasikitisha sana
Wote hawa, ni wajasiliamali wewe huoni walivyokaa?Nakumbuke enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.
Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?
Tukiwamabia watetee watu wanakufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
View attachment 3492505
Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa hapa.
mbonaflaviana matata hazeeki?Jokate nimeanza msikia nipo sijui sekondari uko. Tumlinganishe na wanaume waliokuwa gumzo enzi zake si ni hawa kina Ali Kiba na yule mcheza kikapu. Sasa si ni wote umri unasogea na ukizingatia ni mwanamke basi ana speed ya kukua.
Au tuwatafute kina DJ Fetty walewale tulikuwa tunawaweka kwenye visimu vyetu vya OperaMin kama wallpaper. Wapo vilevile?
Mimi nimeliangalia hilo futuza hapo pembeni yake😂Nakumbuke enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.
Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa. CCM inawafanya nini hawa watoto?
Tukiwamabia watetee watu wanakufa bila hatia hawataki. Ona sasa Mungu anavyo wanyosha.
View attachment 3492505
Wahuni wa temeke, wahuni wa mbagala,. Mama Amina huyu hapa hapa.
Yeah,jibu zuriUmri hausimami mkuu, hata wewe chukua picha zako za 2020 ulinganishe na sura yako sasa hivi, mabadiliko ni makubwa na utajishangaa.
Umri hausumani, kama Makonda alizaliwa '82 means yupo around 43, sio mtoto tena.
Dada yako mwenye miaka 40 yupo kama Flaviana?mbonaflaviana matata hazeeki?