Yule Mlimbwende wetu, CCM imemchosha hatamaniki. Kwani wanawafanya nini?

Nyie jamaa huwa kabla ya kucomment mnazivua akili zenu kwanza? Tundu Lissu wa 2015 ni sawa na wa sasa? Jengeni hoja badala ya kuandika ujinga.
 
Ni mama mrembo, siyo tena msichana mrembo.
Kuna UWT na UVCCM, ni vitu viwili tofauti katika mtazamo wa ulimbwende.
 
hao watoto wawili kajifungua lini? unamuelezeqje mtu hata humjui we jamaa vipi?
 
mbona humzungumzii hamisaa mobeto si walikua rika sqwa
 
Nyie jamaa huwa kabla ya kucomment mnazivua akili zenu kwanza? Tundu Lissu wa 2015 ni sawa na wa sasa? Jengeni hoja badala ya kuandika ujinga.
umeona ulivo akili sina hii hapa listi kawa angalie, kipindi joketi anatoka rika lake walikua wema sepetu, mobeto, nancy, hata frida alikua mkubwa kuwazidi wote au wewe ni mtoto wa ef mbili, unajua umri wa kassim majaliwa, mbona yupo safi tu anajitunza vizuri, ilihali ni mzee kabisa, acha kukurupuka kila kitu unaendekeza uchawa mbele kisaumepewa boflo na maji madogo
 
nina dada yangu ana 45 ukimuona unaweza sema mdogo angu, alafu kimaisha jokate yuko juu ila dada yangu anajitunza na ana kula mali halali na si dhuluma ka ccm, upo hapo chawa
Weka picha basi tuhakikishe sasa hivi kama wakisimama na jokate anaweza kufikia hata nusu ya muonekano jokate alionao.
Wanawake wanaoweza kumaintain m muonekano huo wa jokate kwa umri wa miaka 38 na kuendelea ni wakuhesabika tanzania hii .
 
Weka picha basi tuhakikishe sasa hivi kama wakisimama na jokate anaweza kufikia hata nusu ya muonekano jokate alionao.
Wanawake wanaoweza kumaintain m muonekano huo wa jokate kwa umri wa miaka 38 na kuendelea ni wakuhesabika tanzania hii .
siwezi weka picha ya mtu bila idhini na humu tunaishi kwa machale umri wako upoje kwa hili wazo lako, zari ana umri gani? mbona muonekano wake upo vizuri, ucpende kutetea ovyo utaaibika
 
Umri hausimami mkuu, hata wewe chukua picha zako za 2020 ulinganishe na sura yako sasa hivi, mabadiliko ni makubwa na utajishangaa.

Umri hausumani, kama Makonda alizaliwa '82 means yupo around 43, sio mtoto tena.
kachukue picha zari za akiwa na diamond na sasa, mtafute na hamisa mobeto , muangalie kajala mkuu, unaemtetea kwa sasa anazidiwa hata na lady jay dee, feel shame mkuu kuna mambo hayaelezeki
 
Walishamtema. Amebaki na cheo cha Chawa
 

Hata Maza wakati anaingia huko alikuwa PAPAI....!!
 
Hapo ni kama Umemaliza vizuri.
 
Ndivyo inavyokuwa, waangalie akinadada wa ccm wale wanaotisa makalio wakati wimbo wa "ccm ni ile ile" unapopigwa nyuso zao unaweza dhani wanaoga maji ya bahari bila kupaka mafuta. Nadhani wanatumika sana huko ccm. Kwa umri wa Jokate na vipesa anavyopata huko kwenye chama alitakiwa apendeze awe mshangazi wa haja. Mbona akina Hoyce Temu bado wako bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…